mambo ya weekend

Representing the Mambo is the ninth studio album by the American rock band Little Feat, released in 1990. It peaked at No. 45 on the Billboard 200 and was supported by a North American tour. "Texas Twister" and "Rad Gumbo" were released as singles.

View More On Wikipedia.org
  1. Equation x

    Wananzengo, tunaenda kula bata wapi?

    Wananzengo vipi? Leo tunaenda kula bata wapi? Wanasema kazi na dawa; ukiwa bize sana ni sawa na kutumia mikono yako kusukuma mlima ili uweze kuhama. Twende kazi!
  2. hitler2006

    Jumatatu ya mwanzo wa mwezi na hangover za weekend

    Ukiachilia mbali yale ya yule bi dada mwenyekiti kule kwenye jumba vikao vya kaya. Wakuu kwa wale mlioutwangwa mtindi weekend hii ukizingatia ilikua ya mwisho wa mwezi tukumbushane tu hata kama tuna mning'inio wa maana tuamke tukasake dooo.
  3. Equation x

    Weekend ya Leo tutoke wotee

    Habari wakuu? Natumaini nyote mko poa kabisa na mmejipanga vizuri katika kusherehekea weekend inayotegemea kuanza leo jioni, baada ya kupambana wiki nzima katika utafutaji wa mkate wa kila siku. Kupumzika pia ni muhimu, ili kuupongeza mwili kwa kazi kubwa ya kuutumikisha bila kuchoka kwa siku...
  4. E

    Tukumbushane mambo ya kufanya na kutofanya siku za weekend

    Kwa haraka haraka niwakumbushe mawili tu 1. Kuna jela - Maamuzi na matumizi sahihi ni muhimu sana 2.Tu enjoy kidogo hasa tukijifariji " why should we die with health liver and lungs ?" Ni haya tu kwangu
Back
Top Bottom