Mosi, usiruhusu mtu yoyote yule kukusikia ukilalamika,hisia zako si chochote kwa watu wengine,kwa maana nyingine watu hawapo interested kusikia matatizo yako
Pili,kubali ukweli pale unapokosea kwani hakuna mkamilifu,hii itakujengea heshima zaidi na utaonekana unawajibika kwa makosa yako...