mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Mambo 10 Niliyoyaona Leo Simba ikiadhibiwa tena na Yanga mara ya Nne Mfululizo

    1. Timu yetu ya Simba imecheza vizuri sana kilichotugharimu ni sub, kiukwel hatuna wachezaji wazuri wa sub ndio maana kipindi cha pili sikushangaa kuona Yanga wakipata bao la pili 2. Yussuf Kagoma ni mchezaji mzuri sana lakini Simba isimtegemee sana kwa sababu pancha nyingi sana 3. Kocha wetu...
  2. Sijui kwanini waliamua kugawa kwa walimu vishikwambi baada ya sensa wakati kuna mambo mengine mengi yanahitaji matumizi ya vishikwambi?

    Sasa hivi Tume ya uchaguzi wanaandikisha watu kwa kutumia makaratasi katika mfumo wa kitabu wakati zoezi hili lilipaswa like kidigitali papo kwa papo,vile vishikwambi waliwahonga walimu ilipaswa viifadhiwe kwa matumizi mbalimbali kama haya,ingekuwa ni suala la kuunda mfumo nakuupakia kwenye...
  3. Ali kamwe najua ulikuja mafia alhamis umeondoka ijumaa ila safari hii mambo tofauti

    Nafaham juani ulipokwenda hata watu wa serikali ndio hutumia huko mizimu ya kule ni mikali sana ila nachowashsuri simba ili tushinde hakikisha mpira wa kwanza aguse mchezaji mmoja na autoe goolkik tukenda kinyume na hapo tunafungwa Karibuni mafai
  4. Watoto wanaojihusisha na mambo ya michezo michafu ni nani anadili nao?

    Juzi usiku nilikuwa kijiweni kwangu nikitoa huduma kama kawaida, mara akaingia dada mmoja ambaye namfahamu akiwa ameambatana na wadada wengine ambao nao sio wageni pamoja na watoto wakiume wawili. Mtoto mmoja namfahamu ni wahuyo dada nikajua wamekuja kwa ajili ya matibabu zaidi maana Siku 2...
  5. Akina dada, kwanini mnakubali kutoa namba kisha mkipigiwa simu hampokei?

    Baada ya stori mbili tatu ukaombwa namba na umetoa mwenyewe bila kushikiwa kisu, manati wala bunduki, lakini cha ajabu ni wiki ya pili sasa simu hujawahi kupokea hata siku moja na ikipigwa inaita vizuri tu. Meseji ndo kabisaa kama huzioni vile. Sasa ulikua unatoa namba ya nini?
  6. I

    Hivi haya mambo yana faida gani kwa Walimu zaidi ya kutapeliwa hela? Nani aliyeturoga?

    Habari za saa hizi Makada wa CCM. Ndugu zangu wanaSongwe mliambiwa kuwa kutakuwa na Mafunzo ya Walimu Makada wa CCM yatakayofanyika tarehe 02.11.2024 hadi 03.11.2024 , Wilaya ya Mbozi eneo la Mpakani na Mbeya kata ya Nanyala katika ukumbi wa sekondari ya SONGWE SUNRISE Mafunzo haya...
  7. Hiki ndicho Mwafrika alichobobea. Mambo ya kufirika fikirika. Leo atagundua Kiboko ya wachawi ni tapeli kesho anaenda kwa kiboko ya majini

    Maisha yaendelee...
  8. Ali Kamwe acha kubwatuka nonsense, nchi ina mambo mengi ya kufanya zaidi ya mpira

    Nimemsikia huyu kijana anayeitwa Ali Kamwe mfanyakazi wa Yanga anazisihi taasisi, kampuni na mashirika mbalimbali katika nchi ziruhusu wafanyakazi wao kutoka kazini mapema Jummane wakaishangilie timu ya Taifa. Huu ni wendawazimu, nchi hii ina mambo mengine muhimu zaidi ya mpira, yaani Jumanne...
  9. K

    Napendaa mambo ya modeling sana na natamani nifike mbali lakini bado sijapata connection nzuri ili niweze kutimiza ndoto zangu

    Hello naitwa Jenipha napenda sana mambo ya modeling lakini Bado sijapata connection au njia rasmi ya kuweza kutimiza ndoto zangu nahitaji msaada wenu. 0713776534
  10. Pre GE2025 Ni mambo gani yanawakwamisha Wanawake kuingia katika Siasa na Uongozi hapa Tanzania?

    Katika ulimwengu wa kisiasa, wanawake wanakutana na vikwazo vingi vinavyozuia ushiriki wao kamili. Na sio tu kwa nafasi kubwa kama Ubunge na Urais, kuanzia huko kwenye Uwakilishi wa Serikali za Mitaa na Udiwani Upendeleo wa kijinsia na ukosefu wa rasilimali ni baadhi ya changamoto kubwa...
  11. Uchumi wa Israel waathirika na vita ya Gaza

    aljazeeraenglish The fact that the cumulative weight of bombs dropped on #Gaza exceeds that of those dropped during World War II is “extraordinary”, Will Hutton, political economist and journalist, tells Al Jazeera.⁠ .⁠ #Israel could not have done this without US military aid, but it could have...
  12. Yajue mambo 14 ya busara

    Mhadhara - 44: Mnamo Oktoba 1, 2024 niliwaletea MAMBO 13 YA BUSARA. Leo nawaongezea mambo mengine kumi na nne (14) ya busara ambayo yataongeza au yatalinda heshima, thamani na utu wako. Ikumbukwe kuwa watu pia ni mtaji wa kujipata kimaisha. MAMBO 14 YA BUSARA: 1. Acha tabia ya kucheuwa ovyo...
  13. Just imagine haya mambo yangetokea kwa hili Kanisa Katoliki

    Ushawahi kujiuliza kwanini Mungu aliwaandaa Simeoni na Anna kumpokea mtoto Yesu pale hekaluni kabla ya umauti kuwakuta? Soma Injili ya Mtakatifu Luka (Lk 2:25-38) Sasa Imagine Yusufu na Maria wangekutana na Kuhani au mapadri wa kwetu huku kukiwa na tetesi mtaani kuwa mtoto si wa Yusufu...
  14. D

    Hivi kwanini mwanga wa mshumaa huhamasisha sana yale mambo yetu kuliko umeme?

    Habarini! Nikiwa nina uhakika wabongo na masuala ya ngono hawatenganishiki kama kahawa na kashata, sijistukii na wala sina hofu yoyote ya kuleta Uzi huu asubuhi kama hii ya kazi. Siajabu wakurugenzi wakawa wa kwanza kuisoma. Kwenye mada! Ndugu, mmeshakokotana hadi chumbani na hamjisikii mzuka...
  15. M

    Pre GE2025 Mitano tena kwa Rais Samia Suluhu

    Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ameonyesha sifa kadhaa ambazo zinaonekana kufanana na sifa za rais bora: Uadilifu: Rais Samia ameonekana kujitahidi kufuata maadili ya uongozi na kutoa kipaumbele kwa maslahi ya umma. Uongozi bora: Tangu kushika madaraka, Rais Samia ameonyesha uongozi...
  16. Marekani huwa wanapata wapi taarifa muhimu kabla ya jambo fulani kutokea?

    Hivi USA wanapataga wapi Taarifa Muhimu za intelligence kabla ya Jambo kutokea? 1. Juzi walionya kuwa Iran Ina mpango wa kushambulia Israel ndani ya Masaa mawili yajayo na ikawa hivo 2. Mwaka 2021 December na 2022 January walionya kwamba Urusi Ana mpango wa kumshambulia Ukraine ! Ambapo Urusi...
  17. Redio maria acheni udini, nyie kutwa kutwa mambo ya dini ya ukristo na kwaya tu?

    Radio maria acheni udini aisee mnazingua aisee Tanzania kuna dini kubwa mbili aisee sasa kwanini kila siku nyie mnaizungumzia dini moja tu ya ukristo? Ili hali nyie ni radio tu kila mtu anapaswa kuisikiliza sio kubase kwenye dini moja tu aisee mnakera sana aisee Mtanirekebisha kama ni radio ya...
  18. G

    Hivi ndivyo vyuo vizuri Tanzania, mambo ya Kuivana kuchagua vyuo vyenye elimu ngumu hayana uzito, baada ya kuhitimu maisha yanaendelea

    Kwa elimu yetu ya hapa Tanzania soma vyuo ambavyo vina network kubwa ya kukuongezea uwezekano wa kupanua goli la oppurtunities (Ajira, Promotion maofisini, Scholarships, Grants, n.k) hata kama huna connection. haya mambo ya kuwa nondo ,kuiva, kujisifu chuo kina elimu ngumu ni hayana uzito...
  19. Mambo 13 ya busara

    Mambo 13 ya busara 1. Ufikapo mahali ambako umealikwa usiketi kwenye kiti kabla ya kukaribishwa na mwenyeji wako. 2. Kama unakula mbele ya watu wengine usipende kuvutana na nyama ambayo ni ngumu. Nyama ngumu achana nayo. 3. Uendapo kwenye usaili wa ajira (kazi) usivae suruali bila mkanda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…