Na kingine GENTAMYCINE najijua nina Nyota Kali hivyo Michawi inanisaka kwa Udi na Uvumba na ndiyo maana huwa sitoi hovyo Mkono wangu. Kama tu Viganja vyangu vyote vina ALAMA ya BAHATI, ULINZI na MAFANIKIO makubwa ya M kwanini Wanga na HATERS wasihangaike kutaka Kunimaliza japo wanashindwa...