Ndugu zangu Watanzania,
Wakati Taifa likiendelea kutabasamu na kusikika kwa kelele za shangwe, nderemo na vifijo zinazotokana na ushindi wa Timu ya Yanga ambayo licha ya refarii kukataa magoli ya wazi kabisaaa ,lakini imefanikiwa kuendelea na pale ilipoishia Msimu ulioisha kwa kumchakaza vibaya...