mamlaka

Al-Mamlaka (Arabic: المملكة‎, romanized: Al-Mamlakah, literally "The Kingdom") is a Jordan-based public broadcaster based in Amman, Jordan, established by a 2015 bylaw. It was launched on 16 July 2018. The TV channel is state-funded and offers public broadcasting services – it is neither state-owned nor commercial.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Mke wangu amenipa Responsibility bila kunipa Authority. Hiki ni kilio cha wanaume wengi kwenye ndoa

    Ndoa nyingi sana za kisasa mwanamke ndie anafanya maamuzi ya kufanya kitu bila kuomba ruhusa kwa mume wake . Ila mwanaume bado anafanya majukumu. Mwanamke anaweza akaamua kwenda popote anapotaka bila kumuomba mumewe ruhusa zaidi ya kumpa taarifa tu. Ila mwanaune huyo huyo ambaye haombwi...
  2. City Of Lies

    Trump aanza kudhibiti mamlaka ya Elon Musk

    Rais wa Marekani Donald Trump alifanya mkutano na Baraza lake la Mawaziri na kusema kwamba usemi wa mwisho juu ya sera ya wafanyakazi utatolewa na wakuu wa mashirika ya shirikisho, sio mkuu wa DOGE Elon Musk. Vyombo vya habari vya Reuters, Politico na CNN vimeripoti ripoti hii, wakinukuu vyanzo...
  3. Mchochezi

    Bidhaa tunazouziwa siku hizi hasa viatu na nguo za dukani zinapauka kwa haraka sana, mamlaka imelala?

    Yaani unanunua jeans leo mwezi march unavaa ukifua mara mbili tu nguo inapauka vibaya mno kiasi cha kuonekana ni kama ya mwaka juzi. Hivyo hivyo na bidhaa nyingine, kama viatu yaani ni shida tupu. Mamlaka ziko wapi, wananchi tunauziwa bidhaa zisizo na ubora kwanini?
  4. S

    Mamlaka zimelipa kisogo suala la kupambana na mapenzi ya jinsia moja.

    Wana jamvi "Tumsifu Yesu kristu, Asalaam aleykum , Bwana yesu Apewe Sifa"! Naiomba serikali yangu JMT iamke, Nimeshangazwa saana na Ongezeko la mashoga mtaani tena wakitembea kwa madaha kabisa, yaan mpaka mtoto wa shule ya msingi ana nyoosha kidole shoga yule...
  5. T

    Pre GE2025 Makalla: Lissu na wenzake hawana ubavu wa kuzuia uchaguzi

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba uchaguzi hautafanyika bila mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi. Akizungumza siku ya...
  6. Waufukweni

    Pre GE2025 Lissu: Mabadiliko yakikubaliwa, Uchaguzi utaahirishwa na Bunge litarudishwa hata kama lilivunjwa

    Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  7. The Burning Spear

    Wilaya ya Chalinze haina Mpinzani kwenye ajali za Barabarani. Ni eneo hatarishi sana kwa Maisha. Mamlaka zichukue hatua.

    Nadhani hii ndo wilaya pekee Tanzania inayokunywa damu.za kutosha. Ukiingia youtube au google uka search Chalinze Taarifa 3 za kwanza ni ajali ajali miaka nenda rudi ni eneo hatari sana na watu wanapaswa kuwa makini. Check hii ni ya leo leo Bwilingu nadhani na ufinyu wa barabara unachangia...
  8. Father of All

    Ofisi ya DPP ifutwe au kunyang'anywa mamlaka ya kuonea watu yasiyo na kikomo wala kuhojiwa

    Japo inaendeshwa kwa fedha ya walipa kodi wengi maskini na wanyonge, ofisi ya Mwendesha Mashitaka mkuu wa Serikali (DPP) ni chombo au zana yenye kila ukoloni na uvunjaji wa sheria hasa kuwa na kile kisheria huitwa discretionary powers au mamlaka yasiyohojika. DPP anaweza kutumiwa na watawala...
  9. Roving Journalist

    Mamlaka ya Maji Singida (SUWASA) yaondoa changamoto ya maji Mtaa wa Ng’aida, Kata ya Kisaki

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) imefanikiwa kuondoa changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa huduma ya majisafi kwa wakazi wa Mtaa wa Ng’aida, Kata ya Kisaki, Manispaa ya Singida, baada ya kukamilisha mradi wa usambazaji wa maji katika eneo hilo. Mradi huo...
  10. Roving Journalist

    Mamlaka ya Maji Singida (SUWASA) yaondoa changamoto ya maji Mtaa wa Ng’aida, Kata ya Kisaki

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) imefanikiwa kuondoa changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa huduma ya majisafi kwa wakazi wa Mtaa wa Ng’aida, Kata ya Kisaki, Manispaa ya Singida, baada ya kukamilisha mradi wa usambazaji wa maji katika eneo hilo. Mradi huo...
  11. The Watchman

    Mamlaka ya Elimu Tanzania(TEA) imekabidhi matundu 24 ya vyoo kwa milioni 51 kwa shule ya sekondari Mpechi Njombe

    Zaidi ya shilingi Milioni 51 zilizotolewa na Mamlaka ya Elimu Tanzania TEA zimetekeleza mradi wa ujenzi wa Vyoo matundu 24 katika shule ya Sekondari Mpechi Halmashauri ya mji wa Njombe mkoani Njombe na kupunguza changamoto ya watoto kuugua magonjwa yanayotokana na uchafu. Akikabidhi mradi huo...
  12. Culture Me

    Mamlaka husika mchukulieni hatua huyu mzungu amewatukana dada zetu wa Kitanzania na Watanzania kwa ujumla

    https://youtu.be/9ebMOVI87h0?si=sJm0h1XJPQDVVuaQ Jana nimetumiwa hiyo link na rafiki zangu ambao sio watanzania wakishtushwa na kukasirishwa na huyo mzungu akiwadhalilisha Watanzania hasa Wanawake, Kwenye comments nimesikitishwa na baadhi ya wanaume wa Kitanzania wakimsapoti na kujichekesha...
  13. R

    Je, Kuna ukomo katika kutii mamlaka za WANADAMU ?

    Hellow! Kuna agizo kabisa Kutoka Kwa Mungu kupitia vinywa vya manabii na vitabu vya kiimani kuwa tunapaswa kuzitii mamlaka, Kwa kuwa mamlaka hizo zimeruhusiwa na Mungu. Sasa matukio yafuatayo na simulizi ndani ya vitabu vyetu kiimani, zinanipa maswali kuwa, Inawezekana upo ukomo katika kuzitii...
  14. Ojuolegbha

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) yakamata Kilogramu 2,327,983.66 za Dawa za Kulevya 2024, idadi ambayo haijawahi kufikiwa

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) yakamata Kilogramu 2,327,983.66 za Dawa za Kulevya 2024, idadi ambayo haijawahi kufikiwa tangu kuanza kwa mapambano haya nchini. Dawa zilizokamatwa zilijumuisha bangi aina ya skanka na hashishi, methamphetamine, heroin, na dawa tiba...
  15. chiembe

    Kama CHADEMA wanasema Lissu kavunja katiba ya chama chake, anapata wapi mamlaka ya kujadili katiba ya nchi

    Huyu mtu anatusumbua na nyimbo za katiba kuchwa kutwa. Sasa ana tuhuma ya kuvunja katiba ya chama chake kwa kupandikiza wajumbe feki wa Kamati Kuu. Hebu atuache watanzania, tumechoka na utapeli wa kisiasa.
  16. philipo Leonard Philipo

    Naomba mamlaka zinazo husika kushughulikia hii changamoto ya watoto kwenda vijiweni

    Tunapo waacha watoto kudhurura na kuwapa uhuru ulopitiliza bila kujali kesho yao ndo chanzo cha watoto kuwa wazembe na kushindwa kujifunza vitu vya msingi kama masomo hii ndo sababu wanavuna ziro huko mashuleni. Wazazi chukuweni hatua stahiki ✍️✍️
  17. Consultant_Silwano

    MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA TAARIFA KWA UMMA MFUMO MPYA WA USAJILI WA VYOMBO VYA MOTO

    Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) inamepotoa muongozo mpya wa kushughulika na Vyombo vya moto(Magari, Pikipiki na Mitambo)
  18. Consultant_Silwano

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inamepotoa muongozo mpya wa kushughulika na vyombo vya moto

    Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) inamepotoa muongozo mpya wa kushughulika na Vyombo vya moto(Magari, Pikipiki na Mitambo)
  19. Nomadix

    Kati ya Mbunge (MP) na Mkuu wa wilaya (DC) yupi ana mamlaka zaidi?

    Kwema wakuu Kama title inavyosomeka ningependa kujuzwa, kati ya Mbunge na Mkuu wa wilaya yupi ana mamlaka zaidi ya kiutawala/kiuongozi? Naelewa mbunge yupo kwenye mhimili wa bunge(legislature) na mkuu wa wilaya yupo kwenye mhimili wa serikali kuu(executive), ila yupi kati yao ana nguvu ya...
Back
Top Bottom