Dar es Salaam. Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imesema haiutambui usajili wa Chuo cha Tanzania Aviation College kilicho na matawi katika mikoa ya Mwanza, Dares Salaam na Arusha.
Chuo hicho ambacho kimekuwa kikitumia usajili namba wa CAA/AT0/050 imebainishwa kuwa usajili wake ulifikia...