Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya uwepo wa kimbunga "JUDE" katika Bahari ya Hindi eneo la Rasi ya Msumbiji.
Taarifa iliyotolewa na mamlaka hiyo imeeleza uchambuzi wa mifumo ya hali ya hewa inaonesha kimbunga hicho kitaingia nchi kavu katika eneo la Msumbiji leo na...