Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ,Bw Yusuph Juma Mwenda amewataka watumishi wa Mamlaka hiyo kuendelea kutekeleza maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan ya kusimamia ulipaji wa kodi kwa hiari. Ameyasema hayo wakati akifunga kikao cha nne cha...
Kwa muda takribani wiki sasa, nimekuwa nikijaribu kutuma maombi ya kazi kupitia mfumo wa ajira wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) bila mafanikio. Niwaombe Mamlaka watoke hadharani na kutoa tamko kuhusu changamoto hizi na mwelekeo (Way forward).
Kuna wakati napata hisia mbaya kwamba tayari...
Katika Kipindi cha kuanzia mwezi Julai hadi Desemba mwaka 2024 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh Trilioni 16.5 ambapo kati ya fedha hizo, Trilioni 13 zilikusanywa katika Mkoa wa Dar es Salaam.
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inapenda kuwafahamisha Walipakodi na wananchi kwa ujumla kuwa, ofisi za TRA nchi nzima zitakuwa wazi kuwahudumia walipakodi siku ya Jumamosi tarehe 31 Agosti, 2024 kuanzia saa 2:30 asubuhi hadi saa 11:00 jioni.
Hatua hii inatokana na ushauri na maoni ya wadau...
UCHUMI: Mwakilishi wa Sekta Binafsi, Ali Amour amesema baadhi ya changamoto walizokutana nazo Wafanyabiashara kwa mwaka 2022/2023 ni pamoja na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kufungia Akaunti za Wafanyabiashara wengi.
Akizungumza mbele ya Rais Samia Suluhu kupitia Mkutano wa Baraza la Biashara...
Nimejaribu kununua umeme Leo wa TSH 5000 naambiwa nadaiwa deni kubwa kuzidi hiyo pesa siwezi pewa tokeni
Na mwezi uliopita nimenunua wamekata pesa yao ya jengo 1500.
Nimepiga huduma kwa wateja naambiwa nadaiwa deni la MIEZI 12 sawa na Tsh. 18,000 hivyo ni nunue wa elfu 20. Mita yenyewe haina...
Anonymous
Thread
kodi ya jengo
madeni ya luku
makato ya luku
mamlakayamapatotanzania
property tax
tanesco
tra na makapo ya kodi ya majengo
TRA watembee na documents ambazo zinamuwezesha mtu aliyefungua biashara yake bila leseni ya biashara wanapofika madukani wakikuta hauna leseni basi hapo hapo uwe unabuwezo wabkupewa tin, pia wakupatie na leseni yako ili kudhibiti ukwepaji kodi kuliko kumfungia mtu biashara yake.
Sisi ni wateja...
Moja kwa moja kwenye mada ambapo leo hii nimekusikia ukitoa tamko kwamba sasa TRA itaja na mfumo bora wa nyaraka wa kukusanya kodi kuanzia Julai 1, 2024.
Tatizo lililopo TRA ni upigaji ambapo maofisa wa TRA hujidamka mapema asubuhi kuwahi kusumbua wafanyabiashara na kugeuza usumbufu huo kuwa ni...
Kodi ni Nini?
Kodi ni malipo ya lazima ya kifedha yanayowekwa na serikali kwa watu binafsi na biashara ili kufadhili matumizi ya umma na shughuli za serikali. Kodi hukusanywa kwa njia mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kodi ya mapato, kodi ya makampuni, kodi ya mauzo, kodi ya mali, na ushuru wa...
Askari Wanyamapori Bw. Ibrahim Silas Mtaki, Mfanyabiashara wa mbao Bw. Roden Esches Mwalongo na Mjasiriamali Bi. Lilian John Jombe, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa kwa shtaka la kuisababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania hasara ya kiasi cha Shilingi 2,231,000/=...
MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) imetangaza nafasi za ajira 524 ili kujaza nafasi mbalimbali ikiwa ni pamoja na nafasi 206 za maofisa wasimamizi wa kodi.
Tangazo la TRA limeorodhesha idadi ya nafasi hizo na vigezo kwa waombaji na kwa ujumla waombaji wanapashwa kuwa tayari kufanya kazi popote pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.