mamlaka ya mawasiliano tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TCRA yawapa siku 30 Watoa Huduma za intaneti kurekebisha Nyaya Holela

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka watoa huduma za intaneti nchini kurekebisha kasoro katika uwekaji wa nyaya za mawasiliano za mkongo wa nyuzi za macho (fibre optic cables) ndani ya siku 30, ili kuimarisha usalama wa wananchi na kuhakikisha miundombinu hiyo inazingatia viwango na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…