Ili mgeni aweze kulala ndani ya eneo (mbuga) ya Ngorongoro kuna ada ya Serikali anatakiwa kulipa ambayo huitwa Camping fees (GRR).
Wanachofanya mamlaka ya Ngorongoro; Mgeni hata kama amelipia camping fees ya siku tano; akishindwa kuingia Ngorongoro kwa siku ya kwanza; mfano akaja siku ya pili...