mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    TMA yatabiri uwepo wa mvua kubwa kubwa kwenye mikoa 11 kuanzia leo

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza utabiri wa mvua kubwa katika mikoa 11, itakayoanza leo, Novemba 30, hadi Desemba 1, 2024. Maeneo yatakayoni mikoa ya Nyanda za Juu Kusini (Mbeya, Songwe, Iringa, Njombe, na Rukwa), ukanda wa Pwani ya Kusini mwa Bahari ya Hindi (Lindi na...
  2. Mindyou

    Hizi Bilioni 24.5 walizopokea Mamlaka ya Utabiri wa Hali ya Hewa (TMA) zitatumikaje kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi?

    Wakuu, Takriban siku 2 zilizopita Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ilipokea msaada wa dola milioni 9 za Marekani (takriban shilingi bilioni 24.5) kwa ajili ya kuboresha huduma za hali ya hewa. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TMA, Jaji Mshimbe Bakari, alitangaza msaada huo jijini Dar...
Back
Top Bottom