Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza utabiri wa mvua kubwa katika mikoa 11, itakayoanza leo, Novemba 30, hadi Desemba 1, 2024.
Maeneo yatakayoni mikoa ya Nyanda za Juu Kusini (Mbeya, Songwe, Iringa, Njombe, na Rukwa), ukanda wa Pwani ya Kusini mwa Bahari ya Hindi (Lindi na...