Ushauri wa Maboresho kwa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA, maandishi yote yaandikwe kwa kuchomwa au kwa kutumia Permanent Ink for plastic ili yasifutike kwa haraka
Ili kuboresha vitambulisho vya Taifa vidumu kwa muda mrefu zaidi kuna haja ya maandishi kuandikwa na Mashine zenye uwezo wa...
Kulikuwa na malalamiko sana kwenye mamlaka hii maana kila kijana ukimkuta kijiweni lawama kwa NIDA ila hali mnavyoenda nayo kiukweli niwape maua yenu💐💐💐💐💐💐
Jamaa wangu alipeleka maombi tarehe 01 january hii ya juzi yaani mpaka tarehe kumi tu namba na kitambulisho tayari
Hongera nida hongera...
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetangaza kusitisha matumizi ya namba za utambulisho kwa wale waliokaidi kuchukua vitambulisho vyao.
Tangazo hilo linakuja ikiwa zimesalia siku 15 kufikia ukomo wa agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, la kusambaza vitambulisho...
Kama mtanzania naandika hili machozi yakimwagika. Naumia kwa namna pesa nyingi za watanzania zilivyoteketea kwa kisingizio cha vitambulisho.
Kipindi cha Kikwete pesa zililiwa hadharani. Kipindi cha Magufuli Simba Chawane akasema inakuja mashine kubwa na tatizo litaisha.
Yawezekana limeisha...
Kwa kua sasa hivi kuna idadi kubwa ya id mfano kitambulisho cha NIDA, Kura, Passport, Leseni n.k na taarifa tunazotoa kwenye hizi taasisi zinafanana kila kitu yaani copy and paste hadi ukiwa na wallet vitambulisho ni vingi kuliko hela .
Swali ni je inawezekana kukawa na kitambulisho kimoja...
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) imeanza kuchapa upya vitambulisho vilivyochapishwa chini ya kiwango, hivyo imewataka wenye navyo kuviwasilisha katika ofisi zake zilizo karibu nao vichapwe upya.
Hayo yamesemwa leo Alhamisi Julai 4, 2024 na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Nida, Geofrey...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.