Kwa kua sasa hivi kuna idadi kubwa ya id mfano kitambulisho cha NIDA, Kura, Passport, Leseni n.k na taarifa tunazotoa kwenye hizi taasisi zinafanana kila kitu yaani copy and paste hadi ukiwa na wallet vitambulisho ni vingi kuliko hela .
Swali ni je inawezekana kukawa na kitambulisho kimoja...