Mimi nashangaa sana yaani inakuaje Mamlaka za Serikali za Mitaa ambazo zinaanzia Ngazi ya Halmashauri na kuongozwa na Baraza la Madiwani hazihusiki na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?
Hawa Wajumbe sijui wenye viti hawana nafasi yeyote ya kupanga mipango ya Halmashauri zikiwemo sheria ndogo...