Kuna kitu hakipo sawa Tanzania na inasababisha sisi Wananchi tuichukie nchi yetu alafu viongozi wanatusisitiza eti tuwe wazalendo.
Ni zaidi ya dakika 50 sasa barabara ya moshi Arusha imefungwa magari yapo foleni isiyo na mwisho eti kisa rais anahutubia USA njiani, hivi kama unataka kuongea na...