Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Zainab Katimba, amezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini kuendelea kubuni miradi ya maendeleo itakayoziwezesha kujisimamia badala ya kutegemea fedha kutoka Serikali Kuu.
Mhe. Katimba ametoa maelekezo hayo...