Nimekusikia ukiwa ziarani Singida jimboni kwa Elibariki Kingu eti ungekuwa na mamlaka ungemteua kwa kazi nzuri inayoifanya,
Swali Kingu kazi zipi njema anazozifanya mpaka ukaona mamlaka zinafaa kumteua kwa high post?
Naendelea kukwambia Nchimbi,mamlaka ya uteuzi ambaye ni rais,ina jicho pana...