mamlaka

Al-Mamlaka (Arabic: المملكة‎, romanized: Al-Mamlakah, literally "The Kingdom") is a Jordan-based public broadcaster based in Amman, Jordan, established by a 2015 bylaw. It was launched on 16 July 2018. The TV channel is state-funded and offers public broadcasting services – it is neither state-owned nor commercial.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    DOKEZO DC Magembe (Geita) ni muongo, anastahili kuchunguzwa na mamlaka

    Natambua kuwa wengi mmeiona hii taarifa: Geita: Mkuu wa Wilaya aagiza TAKUKURU wachunguze safari za Mkurugenzi Mamlaka ya Uteuzi inatakiwa kuwa makini na huyu DC Cornel Magembe. Ni mtu anacheza na media na anafanya hivyo kwa malengo binafsi wala si uzalendo. Zahara Michuzi alipata ruhusa kwa...
  2. Makonda huna mamlaka juu ya Mawaziri na Wakuu wa Mikoa

    Umesikika katika hotuba yako ya leo kuwa utawarukia mawaziri na wakuu wa mikoa. Nakutahadharisha wewe ni kama Ahmed Ally wa Simba au Ali Kamwe wa Yanga, huna nguvu ya kujipangia unachotaka. Una ripoti kwa Katibu Mkuu, ndiyo anakupa kitu cha kuongea.
  3. Naibu Waziri Khamis Hamza: Serikali Kuziwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa Kusimamia Taka Nchini

    Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amesema Serikali kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo imeibua miradi ya kuziwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa kusimamia taka nchini. Amesema hayo wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa mikakati...
  4. Mamlaka msikilizeni Manara, inawezekana anaonewa na kuhujumiwa na TFF

    Sina mengi, lakini nimesikitishwa na kilio cha haji Manara. Huyu ni mtanzania mwenzetu, analipa Kodi na anayohaki ya kuishi kwa uhuru ikiwemo ukiendesha biashara halali. Lawama zake anazielekeza kwa Wallace Karia kama mtu anayemhujumu na kumwekea chuki. Mbaya zaidi imefikia hatua TFF...
  5. Tanzania ina matumizi mabaya kwenye pesa za walipa kodi, utitiri wa mamlaka za udhibiti zisileta tija

    Lengo la sera ni kuondoa changamoto zinazoikabili jumua/jamii, mfano tunayo changamoto ya umeme katika taifa letu, bunge limekaa kikao cha kupitisha sheria/sera ya umeme kwa kumgaia udhibiti na mamlaka shirika la umeme kudistribute na allocate eletricity, halkadhalika EWURA, LATRA, CNA CAG vyote...
  6. Ushauri kwa vikosi vya uokoaji: Majina ya mamlaka muhimu kama TMA yasitumike

    Kumekuwa na mazoea ya kutumia majina ya mamlaka muhimu kama TMA, GST, polisi nk katika mazoezi ya utayari kama ndiyo vyanzo vya taarifa za kufanya mazoezi hayo. Kwa ujumla habari hizi huleta taharuki kwa wananchi na kuwasababisha waache kufanya shughuli zao. Athari ya habari hizi kwa wananchi...
  7. Mamlaka zinashindwa kudhibiti wanaopandisha Nauli za Mabasi kiholela?

    Kwa muda wa takriban miezi miwili kumekuwa na malalamiko mfululizo ya Wananchi kuhusu wamiliki wa Mabasi kupandisha nauli bila kufuata utaratibu ingawa sababu wanayoitaja ina umuhimu kwakuwa ni kweli bei za mafuta zimekuwa zikipanda kila wakati huku nauli zikibaki palepale. Pamoja na hilo bado...
  8. S

    Je, TCRA wana mamlaka yoyote ya kutunga sheria?

    Naomba kufahamu kwa wajuvi wa sheria hapa JF. TCRA ni taasisi inayosimamia mawasiliano hapa TZ. Je hawa watu wanahusika na kutunga sheria? Mfano ni kuhusu hili suala la VPN
  9. Zuio la VPN: Kwanini Mamlaka zinaikimbia Teknolojia wakati dunia inaelekea huko?

    Wadau, bila shaka mmeliona tangazo la TCRA kuhusu onyo la matumizi ya Kipenya Mtando Binafsi (VPN), tangazo ambalo ni dhahiri linaonesha Mamlaka zinaogopa Teknolojia kuliko kuwekeza zaidi katika kutambua fursa zilizoko kwenye uwanda huo. Katika dunia ya sasa Mamlaka zinapaswa kuweka mazingira...
  10. Utapeli unaofanywa na baadhi ya "maajenti" wasio waaminifu pale Magufuli Bus Terminal ukomeshwe!

    Pamoja na kwamba Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli kimetengeneza ajira kwa watu wengi, lakini kuna jambo moja linaloendelea pale na linaonekana kufumbiwa macho na mamlaka husika. Jambo hilo ni utapeli. Juzi nikiwa kwenye pitapita zangu, nikaona watu wamemzingira mama mmoja wa makamu. Mama...
  11. K

    Je, tuendelee kuamini Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini?

    Katika siku za karibuni tulipewa taarifa na Mamlaka ya Hewa kuwa kutakuwa na mvua ya el Nino na hivyo wananchi wachukue tahadhari zote kuhusiana na mvua hizi. Walitutahadharisha kuwa mvua hizi zingeanza mwanzoni mwa Oktoba mwaka huu. Leo ni tarehe 8 Oktoba, 2023 na kuna joto kali sana na...
  12. Mamlaka Iringa shughulikieni ukosefu wa miundombinu ya vyoo Soko la Machinga

    Wafanyabiashara katika Soko la Machinga, lililopo kata ya Mlandege, mkoani Iringa, wanakabiliana na changamoto kubwa ya kukosa miundombinu ya vyoo. Hali hii inawalazimu kutumia eneo la nyuma ya soko, ambalo ni la makaburi, kama sehemu ya kujisaidia. Hii ni hali ya hatari kwa afya, kwani eneo...
  13. R

    Kamati ya Ulinzi na usalama wilaya na Mkoa ina mamlaka ya kisheria kugawa ardhi?

    Je, sheria ya ardhi kuna Sehemu inamtaka mkuu wa Mkoa au Wilaya na kamati zao za ulinzi na usalama wana mamlaka yakumilikisha watu ardhi? Je, kuna mjumbe wa kamati hizi ambaye ni mtaalam wa ardhi? Je, sheria inatamka kwamba migogoro ya ardhi itatatuliwa na hizo kamati za ulinzi na usalama au...
  14. S

    Naomba kujuzwa mamlaka za Serikali zinazoajiri zenyewe

    Wadau mambo vipi nitajieni mamlaka za serikali zinazoajiri zenyewe ukiacha PSRS
  15. Mamlaka ya Maji Tukuyu: Mgao wa maji unahusu watu wote, hadi nyumbani kwa Spika Tulia na kwa DC napo kuna mgao

    Baada ya kuibuka kwa malalamiko ya uhaba wa maji Mjini Tukuyu, Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya, ikidaiwa kuwa kuna upendeleo katika mgawo wa maji, Mamlaka ya Maji ya Tukuyu imefafanua sababu ya mgao wa maji na kuweka wazi kuwa hakuna upendeleo katika mchakato huo. Malalamiko haya hapa - Tukuyu...
  16. R

    Msemaji wa serikali anasema alichoagizwa na "wakubwa zake" au ana mamlaka ya kuchagua mwenyewe aseme nini?

    Nimetafakari kuhusu mamlaka ya huyu msemaji wa serikali. Anapata wapi cha kusema? Anatafuta mwenyewe au Rais anasema sema hili na hili na hivi na hivi?
  17. Sheria hazilindi Mabwege, Watu dhaifu; na Mamlaka huheshimu Mamlaka

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mimi pia ni mdau wa Ile Kanuni isemayo kuwa Watu wote ni Sawa Mbele ya sheria, ikiwa ni nguzo muhimu kwenye Rule of law. Yaani kila mtu anapaswa kuwajibika Mbele ya sheria na hakuna ambaye atakuwa juu ya sheria. Lakini tukija kwenye Falsafa na uhalisia Kanuni...
  18. Serikali yetu kwa hili, taifa letu linagawanyika

    TAIFA la Tanzania halina dini ila wananchi wanazo dini zao na Imani zao isipokuwa zisivunje Sheria za nchi. Hata hivyo kwa makusudi wamekuwepo Watu ambao wanazishambulia Imani za watu wengine kwa lugha mbaya za udhalilishaji na waziwazi lakini Wana angalia tu Kuna wanaitwa, maaskofu...
  19. Makaburi kuhamishwa kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege JNIA

    Dar es Salaam. Makaburi zaidi ya 600 yaliyopo katika kata ya Kipunguni yanatarajiwa kuhamishwa ili kupisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA). Mchakato wa kuhamisha makaburi hayo unafuatia mpango wa ulipaji fidia kwa wakazi 1,865 wa eneo hilo wanaotakiwa...
  20. Hivi kuna Mkatoliki anayeweza kupingana na TEC kwasababu ya mamlaka Yake?

    Kwa Wakatoliki, mapadre na maaskofu ni watu muhimu mno kiimani. Pamoja na malezi mengine, watu hawa ndiyo ambao huwaongoza wakatoliki katika sala ya toba na kutoa tamko la msamaha wa dhambi. Ifahamike ya kwamba hakuna mkatoliki makini anayeweza kupingana na mababa wake wa kiimani, hayupo. Hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…