Ilipo Stand ya Igombe, Mtaa wa Posta Jijini Mwanza jirani yake kuna chemba ya kusafirisha maji machafu (Mavi) sasa chemba imefumuka ina wiki sasa.
Eneo lile linatoa harufu ile mbaya, maji yanatiririka kiasi kwamba kuna chembechembe za vinyesi ambazo zinaonekana na kuhatarisha afya za watu...