mamlaka

Al-Mamlaka (Arabic: المملكة‎, romanized: Al-Mamlakah, literally "The Kingdom") is a Jordan-based public broadcaster based in Amman, Jordan, established by a 2015 bylaw. It was launched on 16 July 2018. The TV channel is state-funded and offers public broadcasting services – it is neither state-owned nor commercial.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Mamlaka za maji za Tanzania zina dharau kubwa sana kwa wananchi, hakuna usimamizi wa watendaji

    Mamlaka za maji nchini zina kiburi sana, hakuna nidhamu ya watendaji. Miradi ya maji wanapiga, kuunganisha watu maji awataki, wanabambikia wenye maji bili, ukienda ofisini kwao hakuna anayekuchukulia kama mteja kila mtu yupo busy na masuala yake, wengi wana elimu ndogo ya uchumi na hivyo...
  2. Wazanzibari wakati muafaka wa kuwa na mamlaka yenu kamili ni Sasa, Hakuna wakati mwingine

    Katika miaka kadhaa nyuma wazanzibari walikuwa wakilalamika sana kuhusu kinachoitwa "unyonyaji" na "kukaliwa kimabavu" na watu wa "Bara" ( silipendi hili jina bara) ambayo ndiyo Tanganyika yetu. Kuna wakati sisi raia mmoja mmoja kutoka upande huu wa Tanganyika tulikuwa tukiwabembeleza sana hawa...
  3. Hivi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anaweza kuonesha chochote cha kujivunia kwa kipindi ana mamlaka haya? Anayekiona atuoneshe!

    Binafsi sioni ajenda ambayo aliisimamia yeye kama Waziri Mkuu na ikafanikiwa. Hakuna Mkoa utaenda au nchi kwa ujumla ukakuta mtu anasema hii imefanyika kwa sababu ya Majaliwa. Anayejua anijuze. Mzee pinda anakumbukwa kwa kilimo kwanza, Lowassa shule za Kata.
  4. J

    Alichokizungumza Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Plasduce Mbossa, kwenye mahojiano na TBC

    ALICHOKIZUNGUMZA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA (TPA)PLASDUCE MBOSSA, KWENYE MAHOJIANO NA TBC “Bandari ya DSM iko kwenye hatua ya kufanyiwa maboresho, na utaratibu wa kutafuta kampuni kuendesha bandari ni utaratibu wa kawaida na tulikua na kampuni inaitwa TICS ambayo mkataba...
  5. Sasa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa kushirikiana

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa wamesaini hati ya Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya taasisi hizi hususan katika kuzuia vitendo vya rushwa na dawa za kulevya hapa nchini kupitia vilabu...
  6. Mhe. Philip Mulugo asisitiza kiwepo Chombo huru Chenye Mamlaka ya kusimamia Elimu Tanzania

    Mbunge wa Jimbo la Songwe Mhe. Philip Mulugo akichangia kwenye makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2023/2924 iliyosomwa Bungeni na Mhe. Prof Adolf Mkenda "Awamu ya Sita toka tumepata Uhuru ukienda Vijijini tumepeleka fedha nyingi sana kwa...
  7. Mamlaka zinasubiri nini kumpa ofa ya Uraia Mayele?

    Habari! Kuiga jambo si ujinga, cha muhimu ni kuangalia faida za jambo lenyewe. US. hawana kuchelewachelewa kwenye suala la kutoa offer ya uraia wa kudumu kwa mgeni anayefanya vizuri. Wakiamini yeye au kizazi chake watafanya makubwa kwa Taifa lao. Tusipoteze fursa hii ya Mayele. Akipata team...
  8. K

    Uwekezaji katika maeneo muhimu na ya kimkakati ya biashara yawe chini ya udhibiti wa Serikali. Ya Kariakoo yanaweza kujirudia kwingineko.

    Nianze kwa kusema kwamba kama Serikali ingekuwa na umiliki wa moja kwa moja wa eneo la Kariakoo ,hakika tusishuhudia mgomo wenye kuumiza walaji kama inavyoshuhudiwa. Huu ndio ushauri wangu kwa serikali yangu sikivu, sekta binafsi zinasaidia kwa kiasi kusaidia kukua kwa uchumi lakini sekta...
  9. Kabla ya kufika Mizani ya Mikese, Morogoro kuna foleni kubwa sana, msaada kutoka kwa mamlaka

    Foleni hii ya Mizani ya Mikese Mkoani Morogoro imesababisha magari yanayotoka Dar es Salaam kuwa na foleni kama kilometa 10 nyuma, pia kutoka Mikese kuelekea Dodoma kama Kilometa 10 pia kuna foleni. Magari yaliyotoka Dar es Salaam asubuhi ya saa 12 leo tarehe 14 Mei 2023 yamefika Dodoma saa 10...
  10. D

    NEMC wamethubutu kuanza kudhibiti kelele, wasivunjwe moyo na Mamlaka zingine za serikali zenye viongozi wasiotumia busara

    Wale ambao hamukerwi na kelele endelei kunyamaza hivyohivyo! Juzi niliwashauri NEMC kupitia Uzi https://www.jamiiforums.com/threads/hongereni-sana-nemc-kwa-kuanza-udhibiti-kelele-kwenye-bar-lakini-fanyeni-haya-kuboresha-zoezi.2094376/ Kwamba; Walipaswa kuenenda kwa umakini sana kwenye zoezi...
  11. F

    Mamlaka ya uvuvi?

    Huku sio kuwaongezea mzigo walipa kodi? Bila shaaka tunahitaji sera zitakazo wajengea uwezo (empowerment) wavuvi serious tulionao badala ya mamlaka. Agency haivui samaki kwani serikali ilishajitoa kwenye biashara. Kama tatizo ni mfumo wa uzalishaji mali başı tuambiane ukweli kwamba tunaenda...
  12. Tanzania ya leo ingekuwa vipi kama Kambona angepewa nafasi ya mawazo yake kutekelezwa au kuwa na cheo chenye mamlaka

    Huwa namsikia huyu Bwana Kambona alikuwa ni moja kati ya miamba katika behind the scenes hasa za kutafuta uhuru, tunachokiona baada ya uhuru ni tip of an iceberg, Naskia alianza kuonekana mbaya ila siwezi fikia conclusion maana ni upande moja tu walimsema ni mbaya, so labda zilikuwa ni figisu...
  13. B

    Kibaka huyu ni kutoka mamlaka gani?

    Huyu hafuzu kuwa mfanyakazi wa umma. Ana nini huyu kumtofautisha na mhuni mvuta bangi wa mtaani?
  14. Jaji Manento: Rais apunguziwe mamlaka uteuzi wa Majaji

    Jaji Kiongozi mstaafu, Amir Manento amependekeza Katiba iweke udhibiti kwa Rais asiwe na mamlaka ya kuteua majaji nje ya mapendekezo ya Tume ya Utumishi wa Mahakama. Manento alitoa mapendekezo hayo jana kwa kwa Tume ya Haki Jinai, iliyoundwa па Rais Samia Suluhu Hassan, kuangalia jinsi ya...
  15. J

    Aweso afanya mabadiliko Mkurugenzi Mamlaka ya Maji Korogwe, asisitiza utatuzi wa changamoto ya maji

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amefika wilayani Korogwe mkoa wa Tanga na kupokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo kwa Ziara ya kikazi akiwa na lengo la kutatua changamoto mbalimbali na kufuatilia hali ya Utekelezaji wa Miradi ya Maji na hali ya utoaji wa huduma ya Maji eneo...
  16. O

    Kwanini tuko hapa? Nini kimetokea baada ya Waafrika kuchukua mamlaka?

    Maisha ya mwafrika kama ambavyo yalivyo maisha ya jamii nyingine duniani yamepitia zama mbalimbali muhimu. Kuanzia zama za chini kabisa za maendeleo mpaka hii ya leo aliyomo, hizo zote ni muhimu kwa mtu kujifunza na kukua. Jambo lililowazi na muhimu, katika zama zote hizi, ni 'Kukua'. Hii...
  17. Je TCRA au Mamlaka ya Tanzania wanaweza kusoma meseji za Whatsapp? Au zile za kawaida kwenye iPhone?

    Great Thinkers, Naomba kufahamu, je mamlaka yetu nchini inaweza kusoma jumbe za whatsapp? Na je zinaweza pia soma texts za sms za kawaida kwenye simu za iPhone? Asanteni.
  18. Ethiopia: Mamlaka zaweka zuio la kutoka nje usiku kudhibiti maandamano

    Mamlaka za Miji ya #Dessie na #Debrebirhan katika eneo la #Amhara imeanzisha amri ya kutoka nje usiku huku maandamano dhidi ya Serikali yakiendelea kuenea. Maandamano yalizuka na kuenea kwa haraka wiki iliyopita baada ya agizo la Serikali ya shirikisho la kuvunja Kitengo cha Wanajeshi, Kikosi...
  19. Ripoti ya CAG 2021/22: Mamlaka 180 za Serikali za Mitaa zimeshindwa kurejesha Tsh. Bilioni 88.42 ilizozikopesha

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa mara nyengine ameendelea kuonyesha udhaifu mkubwa na ubadhirifu katika Fedha za Mikopo inayotolewa na Halmashauri za Wilaya, Miji, Manispaa na Majiji kwa vikundi vya Vijana, Wanawake na Watu wenye ulemavu. Fedha hizi ni 10% ya Mapato ya Ndani...
  20. Tundu Lissu: Sabaya siyo mkosaji wa kisiasa ni jambazi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alihojiwa na Dar 24 Media siku chache zilizopia. Akiwa katika mahojiano hayo Lissu amezungumza masuala mengi yanayohusu mwenendo wa kisiasa nchini. Aidha alipoulizwa kuhusu kumchukulia Mkuu wa Wilaya wa zamani wa Hai, Lengai Ole Sabaya kama Mkosaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…