mamlaka

Al-Mamlaka (Arabic: المملكة‎, romanized: Al-Mamlakah, literally "The Kingdom") is a Jordan-based public broadcaster based in Amman, Jordan, established by a 2015 bylaw. It was launched on 16 July 2018. The TV channel is state-funded and offers public broadcasting services – it is neither state-owned nor commercial.

View More On Wikipedia.org
  1. Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya yateketeza kilo 584.55 za dawa za kulevya

    Veronica Matikila akizungumza kwa niaba ya Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ya Nchini Tanzania (DCEA), Gerald Kusaya, amesema leo Disemba 21, 2022 wameteketeza kilo 584.55 za dawa za kulevya zinazojumuisha kilo 569.25 za Heroin, Cocaine kilo 15.3 na Tani...
  2. WIMBI LA MAKATO YASIYOELEWEKA BENKI: Je, benki zimepewa mamlaka ya kukata fine za trafiki, deni, tozo ya luku na malipo ya maegesho kwa TARURA?

    Benki zina wajibu mkubwa sana juu ya kuheshimu misingi ya kazi zao na mikataba na miongozo ya kuanzisha kwake. Ambao hamjashtukia hivi karibuni kumekuwa na wimbi la watu Kupokea meseji za makato mbalimbali kutoka kwenye mabenki kama CRDB, NMB, na etc. Kwa msiojua kuna namna mamlaka za serikali...
  3. Katiba mpya iongeze Mamlaka ya Kamati Kuu ya Chama

    Ili kudhibiti wanaotaka kupingana na maamuzi ya Chama kilichokupa dhamana ya uongozi. Katiba mpya iseme wazi kuwa KAMATI KUU ndio kiwe chombo cha juu kabisa cha kudhibiti wakaidi
  4. A

    MORUWASA ndiyo mamlaka ya maji ya ovyo sana Tanzania

    1. Maeneo mengi ya Morogoro mjini hayana maji toka June, 2022 wao wamekaa tu kama hawahusiki. 2. Sehemu zinazopata maji hasa eneo la Bong'ola, maji hayo ni machafu na hayatibiwi. 3. Bili haziakisi kiasi cha maji mteja alichotumia 4. Matatizo ya wateja hayafanyiwi kazi 4. Waziri wa maji...
  5. M

    DOKEZO Kero IFM Mwanza Campus, mamlaka husika tusaidie wanafunzi

    Naandika hapa jamiiforums ili kupata msaada baada ya meneja wa campus daktari Ally Zawadi kushindwa kutusaidia. BAADHI YA KERO: 1: UBOVU WA MAZINGIRA YA KUJIFUNZIA Kwa muda sasa, kampasi hii imepoteza mwelekeo. Tupo wanafunzi zaidi ya 1000 hapa Mwanza na tunalipa ada isio pungua milioni moja...
  6. Mwenyekiti UVCCM asema watawashughulikia wanaokejeli viongozi wao

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohamed Ali Kawaida amesema watawashughulikia wanaowabeza viongozi wakuu wa nchi bila kujali nafasi zao walizo katika taifa hilo. Ametoa kauli hiyo katika ofisi za Jumuiya hiyo Gymkhana Mjini Unguja wakati wa mapokezi yake na...
  7. S

    Kufuru hizi anaziona mwenye Mamlaka Mbinguni na Duniani .Viongozi wa dini semeni neno mhesabiwe

    Wengine jana wanesema watu wazuri hawafi, na wengine wamekuja na bango la aina hii. Sisi wengine kazi yetu ni kuonya na kushauri ni kisha kuhesabu siku tu. Kuna mtu alifananishwa na Mungu wakati ule bado yupo ofisini. Watu wakaonya wakapuzwa, ila leo mtu huyo hayupo na bado hamjajifunza...
  8. Dkt. Agnes Kijazi astaafu Ukurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA)

    Unapoitaja Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini TMA jina linalokujia kwa haraka ni DK Ages Kijazi Mtaalam wa tasnia ya utabiri wa Hali ya Hewa kwa miongo kadhaa sasa. Licha ya ubobevu wake wa masuala ya Hali ya Hewa, DK Kijazi ambaye pia ni Makamu wa tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani...
  9. Taadhari Kuna Wizi wa pesa katika Baadhi ya benki zetu kupitia huduma za Kibenki kwa njia ya simu. Wateja wa benki tuchukue taadhari. Mamlaka Ziamke!

    Habari zenu wanaJf, poleni na miangahiko yakusukuma gurudumu la maisha. Napenda nitangulize radhi kwenu kwa matatizo ya kiuandishi yatakayo jitokeza katika uandishi wangu. Ndugu zangu kama nilivyo taadharisha hapo juu. kunawizi unaendelea Na Ndugu yangu kakutana na hii adha. Tukio lenyewe...
  10. Utaratibu mzima wa kufungia ndoa kanisani ni uhuni tu, kanisa limepora mamlaka yasiyowausu ili kuzitawala ndoa

    Na ndio maana nikaona mapema nioe tu ndoa ya kimila kama kwenye biblia, ukilipia mahari unaondoka na mwenzako, imeisha hivyo !! ni ndpa inayotambulika na serikali kama ndoa za dini na cheti cha ndoa ya kimila mtakipata ofisi ya wilaya bila kero yoyote. Utaratibu mzima wa kufungia ndoa kanisani...
  11. EWURA yazitaka mamlaka za maji nchini kutoa taarifa sahihi za huduma ya maji na usafi wa mazingira

    MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji ( EWURA) Mhandisi Modestus Lumato,akizungumza wakati wa kikao kazi cha Watendaji wa Mamlaka za Maji za Mikoa na Miradi ya Kitaifa kilicholenga kuhakiki taarifa za utendaji wa Mamlaka hizo kwa mwaka 2021/22 kilichofanyika leo...
  12. Hali ya hewa Leo(just..joto) si njema. Mamlaka zitie tahadhari

    Ki kawaida Hali za hewa Zina athari na kuwaumiza baadhi ya binadam. Siku hizi chache hakujatulia kabisa. Leo jua kama limeshuka inch kadhaa. Ni vema wataalam wa weather wakasema jambo kama kuchukua tahadhari, kutotembea juani nk kuliko kukaa kimya
  13. Ukweli usiosemwa: Kwa Tanzania, UTAPELI ni Biashara iliyohalalishwa kabisa isipokuwa kwa wenye mamlaka tu

    Mifumo ya Tanzania kiukweli inasikitisha sana. Masuala ya UTAPELI yamehalalishwa kabisa na watu wanaofanya UTAPELI wanafanya waziwazi bila kificho na hakuna anayewagusa. Tanzania hata siku moja usikae ukafikiri labda ukiwa kama Raia wa kawaida serikaali itakulinda. Suala la kujilinda ni...
  14. TCAA imetangaza nafasi 10 za mkopo wa mafunzo ya utengenezaji wa Ndege, angalia hapa jinsi ya kuomba

    Kwa niaba ya Kamati ya Mfuko wa Mafunzo ya TCAA, Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania inakaribisha Watanzania wenye sifa za kuomba mkopo wa mafunzo ya fani ya Uhandisi wa Matengenezo ya Ndege (nafasi 10)
  15. Malalamiko ya watalii Arusha Airport: Ni malalamiko ya kimaslahi ya madereva waliolalamikiwa na wageni, ila sio malalamiko ya wageni dhidi ya mamlaka

    Na mimi ngoja nisipepese macho. Wala nisifiche jina kwani ukweli haufichwi. Nijuavyo mimi kama niliyekuwepo kiwanja hapo na niliyeshiriki wakati malalamiko yanatolewa na wageni, ni kweli kikundi kipo kama kulivyo na kikundi cha wakata majani, madreva, na cha vijana wa kazi. Ila kikundi hiki cha...
  16. Mamlaka, Jengeni maeneo ya watu kupumzika na kuhuisha akili zao

    Wakuu, Ni ajabu sana kuona miji midogo ndani ya majiji haina sehemu zenye utulivu kwa ajili ya watu kupumzika na kutembea, huku wakicheza na watoto wao, wakinywa soft drinks na bites, wakipiga picha na kupumzisha mafuvu yao. Mji mdogo kama Mbezi-Kimara, kutwa ni shughuli za kiuchumi...
  17. Morogoro: Polisi wazuia Msafara wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika

    Katika Muendelezo wa kutumiwa na ccm kisiasa , Jeshi la Polisi limetumwa tena leo kuzuia Msafara kabambe wa Katibu Mkuu wa Chadema , aliyeingia kwa kishindo mkoani humo kwa ajili ya vikao vya ndani vya chama chake (CHADEMA DIGITAL) Taarifa zaidi kuhusu Mtiti uliotokea zitakujia hivi punde .....
  18. L

    Kampuni ya Huawei kuunganisha watu na kusaidia mamlaka kukabiliana na changamoto kwa Tehama

    Na Gianna Amani Pengine wengi wanaijua Huawei kama kampuni ya kutengeneza simu kutokana na chapa yake kuwepo katika soko kwa miongo kadhaa, lakini Huawei ni zaidi ya kampuni ya kutengeneza simu. Huawei ni kampuni kubwa ya teknolojia na mawasiliano nchini China na inazidi kuota mizizi katika...
  19. Mahakama pekee ndiyo imepewa mamlaka ya kutoa hukumu ya Kifo na si vinginevyo

    Serikali kupitia Vyombo vya Ulinzi na Usalama inawajibika kuwalinda raia wake kila wakati bila kujali hali zao au matendo yao. Haki ya Kuishi inakoma tu pale Mahakama inapotoa adhabu ya Kifo kwa mkosaji. Ibara ya 14 hadi 17 ya Katiba ya Tanzania inalinda Haki ya Kuishi kwa Sheria namba 15 ya...
  20. S

    Taasisi au Mamlaka gani wanajihusisha na ajira wao wenyewe bila kupeleka tangazo la ajira sekretarieti ya ajira?

    Habari wana jf, Hivi ni taasisi au mamlaka gani wanajihusisha na ajira wao wenyewe bila kupeleka tangazo la ajira sekretarieti ya ajira?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…