Jinsi Simba na Yanga zinavyoendeshwa kisiasa, hali ya uduni wa uchezaji na uhaba wa matokeo ya ushindi wanayokumbana nayo Manchester United na Manchester city, ingekuwa Kwa timu hizo za Kariakoo sijui ingekuwaje🤔
Mawaziri mpaka Rais angeingilia kati. Simba na Yanga zinaua Mpira wa Tanzania kwa...
Leo kuna mchezo wa marudiano baina ya Real Madrid vs Man City.
Ni mchezo wa aina yake mara baada ya mechi ya kwanza ambapo Real Madrid aliibuka na ushindi wa 3-2.
Je Man City wafanyeje ili waweze kufuzu?
Mechi ni saa 5:00 usiku
Golikipa wa Man City, Ederson jana alitoa assist kwa Omar Marmoush wakati Man City ikiiua Newcastle Goli 4-0 katika EPL.
Assit hiyo ya Ederson inakuwa ni assist ya 3 kwa msimu huu katika EPL huku akilingana na baadhi ya wachezaji wanaocheza ndani.
Kipa Ederson, analinganaa na kiungo hatari na...
Man city walimpiga dongo Vinicius Jr kuhusu Ballon d’or jana katika mchezo wa ligi ya mabingwa ulaya.
Bado Vini akapafomu katika kiwango cha hali ya juu na kuisaidia timu yake ya Real Madrid kuibuka na ushindi wa mabao 3-2.
Hata ulaya vijembe na utani wa hapa na pale upo bhana🤣🤣
Najua inauma hela ulizotafuta kwa jasho miaka yote kuchukuliwa pasu kwa pasu na mwanamke.
Sisi timu Man City tunakuomba utupishe ukauguze majeraha ya kibuti.
Soma Pia: Arsenal 5-1 Manchester City
Sisi wakufungwa goli 5 na Arsenal kweli
Tuweke Ushabiki kando.
Hii ligi yetu inaelekea wapi.
Timu za Arsenal na Manchester City tunazozifahamu wengi wetu. Ni timu zilizo kwny nafasi za juu kwenye ligi ya Uingereza.
Ni timu zilizo na falsafa ya kuchezea na kumiliki mpira wakati mwingi.
Sasa Inakuwaje timu hizo hadi leo hii zimepewa...
MSHAHARA WA ERLING HAALAND NDANI YA MAN CITY
Thamani ya Mkataba Jumla £260,000,000 (Tsh. Bilioni 798.6)
Kwa Mwaka £26,000,000 (Tsh. Bilioni 79.8)
Kwa mwezi £2,166,666 (Tsh. Bilioni 6.6)
kwa Wiki £500,000 (Tsh. Bilioni 1.5)
Kwa siku £71,428 (Tsh. Milioni 219.4)
Kwa Saa £2,976 (Tsh. Milioni...
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amesema anaamini Jose Mourinho ambaye kwa sasa ni Kocha wa Fenerbahçe anaitakia mbaya City na ikiwezekana ishushwe daraja
Awali, Guardiola alinukuliwa akisema yeye alibeba mataji sita ya Premier League tofauti na Mourinho aliyebeba matatu, kauli ambayo...
Kocha mkuu wa Manchester City, Pep Guardiola, anadaiwa kuwa "hapatikani" na hatumii simu yake ya mkononi, huku muda mwingi akijifungia ofisini akijaribu kutafuta njia ya kutoka kwenye hali ya vipigo mfululizo vinavyoikumba timu yake.
Guardiola, ambaye anasifika kwa mbinu na Soka safi amekumbana...
Kwa kawaida baada ya timu kupitia mafanikio makubwa mfululizo huwa kuna hali ya wachezaji kurelax na kucheza kwa mazoea wakiamini ubingwa unapatikana kirahisi, Ukiachana na suala la umri wa wachezaji ambao mara kadhaa hutumika kama kisingizio, Ila ukomavu kifikra na uzoefu wa mchezaji ni jambo...
Licha ya kuwa mwanzoni mwa msimu huu ilielezwa Kocha Pep Guardiola ataondoka ndani ya Manchester City mwishoni mwa msimu huu wa 2024/25 inadaiwa kuna uwezekano wa Kocha huyo kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuinoa City.
Guardiola (53) anaelekea mwishoni mwa mkataba wake wa sasa ambao...
Wanabodi hizi ninazowapa ni za ndani kabisa.
Unaambiwa Gudiola kawekwa kikahangoni usiku mnene, habari zinasema wachezaji wake wanajiboost na sindano, na sasa kashatafutiwa mbandala wake soon tu wanampa thanks
Inasemekana jamaa ni mbishi yahani hashauliki.
Mshindi wa Ligi Kuu ya Uingereza na Euro, Rodri, ametangazwa kuwa mchezaji bora wa kiume duniani kwa mwaka 2024, akiwa kiungo mkabaji wa kwanza kushinda tuzo hiyo.
Kiungo wa Manchester City, Rodri, ametunukiwa tuzo ya Ballon d’Or baada ya msimu bora uliomletea mafanikio katika ngazi ya klabu na...
Angetile Osiah
Kwa sasa dunia inafuatilia kwa makini na kusubiri kwa hamu mwenendo na uamuzi wa mashtaka 115 ya uvunjaji wa kanuni za kifedha unaotuhumiwa kufanywa na klabu ya Manchester City inayoshiriki Ligi Kuu ya soka ya England.
Kamisheni huru inayosikiliza shauri hilo ilianza kazi...
Kevin De Bruyne is STAYING at Man City this season, insists Pep Guardiola, despite reports claiming Saudi club Al-Ittihad had agreed terms with the veteran star
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amesema kiungo wat imu yake, Kevin De Bruyne hana mpango wa kuhamia Saudi Arabia kama...
Kocha Pep Guardiola anatarajiwa kuondoka ndani ya Klabu ya Manchester City, mwishoni mwa msimu ujao wa 2024/25 mkataba wake utakapomalizika.
Guardiola (52) aliyejiunga na Man City Mwak 2016 amesaliwa na miezi 12 katika mkataba wake na vyanzo vya Habari kutoka ndani ya klabu yake vinaeleza kuwa...
UBINGWA WA PREMIER LEAGUE 2023/24 UTATUA KWA ARSENAL AU MAN CITY?
1. Manchester City
Pointi 88
GD 60
Mechi iliyosalia: Mei 19: West Ham
Mara ya Mwisho kuwa Bingwa: 2023
2. Arsenal
Pointi 86
GD 61
Mechi iliyosalia: Mei 19 vs Everton
Mara ya Mwisho kuwa Bingwa: 2004
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.