man city

  1. Wanayopitia Man City & Man U ingekuwa Yanga au Simba sijui ingekuwaje?

    Jinsi Simba na Yanga zinavyoendeshwa kisiasa, hali ya uduni wa uchezaji na uhaba wa matokeo ya ushindi wanayokumbana nayo Manchester United na Manchester city, ingekuwa Kwa timu hizo za Kariakoo sijui ingekuwaje🤔 Mawaziri mpaka Rais angeingilia kati. Simba na Yanga zinaua Mpira wa Tanzania kwa...
  2. Magoli ya Mbappe aliyowapiga Man City yana-prove kwamba bado ni world class

    https://youtu.be/zpieZkvFnlE?si=35jBhPRwAJ3yx-CG Tunashukuru sana kwa kuwaburuza matapeli wa soccer.
  3. Full Time: Real Madrid 3 - 1 Man City | UCL | Knock out stage | Estadio Santiago Bernabeu | 19.02.2025

    Leo kuna mchezo wa marudiano baina ya Real Madrid vs Man City. Ni mchezo wa aina yake mara baada ya mechi ya kwanza ambapo Real Madrid aliibuka na ushindi wa 3-2. Je Man City wafanyeje ili waweze kufuzu? Mechi ni saa 5:00 usiku
  4. EPL: Golikipa wa Man City, Ederson afikisha assist ya tatu ya msimu katika ligi hiyo sawa na Odegaard wa Arsenal

    Golikipa wa Man City, Ederson jana alitoa assist kwa Omar Marmoush wakati Man City ikiiua Newcastle Goli 4-0 katika EPL. Assit hiyo ya Ederson inakuwa ni assist ya 3 kwa msimu huu katika EPL huku akilingana na baadhi ya wachezaji wanaocheza ndani. Kipa Ederson, analinganaa na kiungo hatari na...
  5. Hata Ulaya wanataniana; Ona namna Man City ilivyompiga kijembe Vinicius Jr kuhusu Ballon d’or

    Man city walimpiga dongo Vinicius Jr kuhusu Ballon d’or jana katika mchezo wa ligi ya mabingwa ulaya. Bado Vini akapafomu katika kiwango cha hali ya juu na kuisaidia timu yake ya Real Madrid kuibuka na ushindi wa mabao 3-2. Hata ulaya vijembe na utani wa hapa na pale upo bhana🤣🤣
  6. Peo Guardiola avunjiwe mkataba akauguze majeraha ya talaka,ataipoteza Man City

    Najua inauma hela ulizotafuta kwa jasho miaka yote kuchukuliwa pasu kwa pasu na mwanamke. Sisi timu Man City tunakuomba utupishe ukauguze majeraha ya kibuti. Soma Pia: Arsenal 5-1 Manchester City Sisi wakufungwa goli 5 na Arsenal kweli
  7. A

    Wakati Arsenal na Man city zimecheza mechi 23 za ligi, Zote Zina penalties 2 tu, Simba mechi 16 penalties 8..Tafakarini

    Tuweke Ushabiki kando. Hii ligi yetu inaelekea wapi. Timu za Arsenal na Manchester City tunazozifahamu wengi wetu. Ni timu zilizo kwny nafasi za juu kwenye ligi ya Uingereza. Ni timu zilizo na falsafa ya kuchezea na kumiliki mpira wakati mwingi. Sasa Inakuwaje timu hizo hadi leo hii zimepewa...
  8. Erling Haaland asaini mkataba mpya kubaki Man City mpaka 2034

    MSHAHARA WA ERLING HAALAND NDANI YA MAN CITY Thamani ya Mkataba Jumla £260,000,000 (Tsh. Bilioni 798.6) Kwa Mwaka £26,000,000 (Tsh. Bilioni 79.8) Kwa mwezi £2,166,666 (Tsh. Bilioni 6.6) kwa Wiki £500,000 (Tsh. Bilioni 1.5) Kwa siku £71,428 (Tsh. Milioni 219.4) Kwa Saa £2,976 (Tsh. Milioni...
  9. Kiuhakika nina enjoy sana magumu ya Man City

    min -me Oil money fc a.k.a tuhuma 130 za utapeli anapigwa na villa huko Safi sana.. Ahssante "fraudiola"
  10. Pep Guardiola: Jose Mourinho anatamani Man City ishushwe daraja

    Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amesema anaamini Jose Mourinho ambaye kwa sasa ni Kocha wa Fenerbahçe anaitakia mbaya City na ikiwezekana ishushwe daraja Awali, Guardiola alinukuliwa akisema yeye alibeba mataji sita ya Premier League tofauti na Mourinho aliyebeba matatu, kauli ambayo...
  11. Unaambiwa Pep Guardiola 'hapatikani' na hatumii simu yake ya mkononi, ajificha kuokoa Jahazi la Man City

    Kocha mkuu wa Manchester City, Pep Guardiola, anadaiwa kuwa "hapatikani" na hatumii simu yake ya mkononi, huku muda mwingi akijifungia ofisini akijaribu kutafuta njia ya kutoka kwenye hali ya vipigo mfululizo vinavyoikumba timu yake. Guardiola, ambaye anasifika kwa mbinu na Soka safi amekumbana...
  12. Man city wanapaswa kujifunza kutoka kwa Yanga, Waonane na Eng. Hersi kabla mambo hayajazidi kuharibika

    Kwa kawaida baada ya timu kupitia mafanikio makubwa mfululizo huwa kuna hali ya wachezaji kurelax na kucheza kwa mazoea wakiamini ubingwa unapatikana kirahisi, Ukiachana na suala la umri wa wachezaji ambao mara kadhaa hutumika kama kisingizio, Ila ukomavu kifikra na uzoefu wa mchezaji ni jambo...
  13. Pep Guardiola mbioni kuongeza mkataba mpya Man City

    Licha ya kuwa mwanzoni mwa msimu huu ilielezwa Kocha Pep Guardiola ataondoka ndani ya Manchester City mwishoni mwa msimu huu wa 2024/25 inadaiwa kuna uwezekano wa Kocha huyo kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuinoa City. Guardiola (53) anaelekea mwishoni mwa mkataba wake wa sasa ambao...
  14. Dah! Masikini Man City

    Wanabodi hizi ninazowapa ni za ndani kabisa. Unaambiwa Gudiola kawekwa kikahangoni usiku mnene, habari zinasema wachezaji wake wanajiboost na sindano, na sasa kashatafutiwa mbandala wake soon tu wanampa thanks Inasemekana jamaa ni mbishi yahani hashauliki.
  15. Rodri ashinda Ballon d’Or 2024, kiungo mkabaji wa kwanza kushinda tuzo hiyo

    Mshindi wa Ligi Kuu ya Uingereza na Euro, Rodri, ametangazwa kuwa mchezaji bora wa kiume duniani kwa mwaka 2024, akiwa kiungo mkabaji wa kwanza kushinda tuzo hiyo. Kiungo wa Manchester City, Rodri, ametunukiwa tuzo ya Ballon d’Or baada ya msimu bora uliomletea mafanikio katika ngazi ya klabu na...
  16. P

    Man city leo kafunga kama la Simba, mbona limekubaliwa?

    Inabidi tujiulize kidogo, mbona goli hili limekubaliwa? Kwanini la Simba jana limekataliwa? Nb: mimi ni yanga
  17. Tufuatilie Sakata la Man City kwa makini tukijitathmini

    Angetile Osiah Kwa sasa dunia inafuatilia kwa makini na kusubiri kwa hamu mwenendo na uamuzi wa mashtaka 115 ya uvunjaji wa kanuni za kifedha unaotuhumiwa kufanywa na klabu ya Manchester City inayoshiriki Ligi Kuu ya soka ya England. Kamisheni huru inayosikiliza shauri hilo ilianza kazi...
  18. Kocha Pep Guardiola asema Kevin De Bruyne anabaki Man City

    Kevin De Bruyne is STAYING at Man City this season, insists Pep Guardiola, despite reports claiming Saudi club Al-Ittihad had agreed terms with the veteran star Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amesema kiungo wat imu yake, Kevin De Bruyne hana mpango wa kuhamia Saudi Arabia kama...
  19. Kocha Pep Guardiola kuondoka Man City mwishoni mwa msimu ujao

    Kocha Pep Guardiola anatarajiwa kuondoka ndani ya Klabu ya Manchester City, mwishoni mwa msimu ujao wa 2024/25 mkataba wake utakapomalizika. Guardiola (52) aliyejiunga na Man City Mwak 2016 amesaliwa na miezi 12 katika mkataba wake na vyanzo vya Habari kutoka ndani ya klabu yake vinaeleza kuwa...
  20. Ubingwa wa Premier League 2023/24 utatua kwa Arsenal au Man City?

    UBINGWA WA PREMIER LEAGUE 2023/24 UTATUA KWA ARSENAL AU MAN CITY? 1. Manchester City Pointi 88 GD 60 Mechi iliyosalia: Mei 19: West Ham Mara ya Mwisho kuwa Bingwa: 2023 2. Arsenal Pointi 86 GD 61 Mechi iliyosalia: Mei 19 vs Everton Mara ya Mwisho kuwa Bingwa: 2004
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…