Manchester City wanaelekea katika moja ya wiki kubwa kuwahi kutokea katika historia yao wakijua kwamba , heshima yao , nafasi yao ya kucheza ligi ya mabingwa ulaya na kikosi chao cha msimu ujao , vyote hivyo vipo hatarini kupotea
Kesho jumatatu, rufaa yao dhidi ya kifungo cha kucheza Ligi ya...