man u

  1. Kidagaa kimemwozea

    Kocha wa MAN U kuifundisha Harambee stars

    Shirikisho la soka nchini Kenya[FKF] linatarajia kumtangaza Benni Mccathy kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Kenya (Harambee Stars) mapema wiki hii. Mccarthy alikuwa nyota wa zamani wa kimataifa wa Afrika kusini na aliwahi kuzitumikia klabu kadhaa kama kocha mkuu kama vile Amazulu,Capetown...
  2. Allen Kilewella

    Wanayopitia Man City & Man U ingekuwa Yanga au Simba sijui ingekuwaje?

    Jinsi Simba na Yanga zinavyoendeshwa kisiasa, hali ya uduni wa uchezaji na uhaba wa matokeo ya ushindi wanayokumbana nayo Manchester United na Manchester city, ingekuwa Kwa timu hizo za Kariakoo sijui ingekuwaje🤔 Mawaziri mpaka Rais angeingilia kati. Simba na Yanga zinaua Mpira wa Tanzania kwa...
  3. F

    Je Man U kushuka daraja mwaka huu?

    Hali inazidi kuwa mbaya kwa Man U Kila Leo. Hata mechi inayo fuata na Everton Man u wanaweza kufungwa pia. Mpaka najiuliza hivi Ferguson alikuwaga anawapa nini marefa?
  4. Pdidy

    Pole mashabiki WA Mam U na Chelsea kwa matokeo mliyopata leo

    Niko Morogoro Nilichokiona Leo n BALAA tupu Polen sana mashabiki WA man u na Chelsea Kiujumla sisi Man City tumehuzunishwa sana na yanayoendelea ligi kuu ya EPL Nahisi tueleke kwenye maombii ya Mchungaji wa Dube tukaponye timu zetu
  5. yvee

    SI KWELI Manchester United imewahi kufungwa 39-0 na Arsenal mwaka 1920

    Arsenal inashikilia rekodi ya kuichapa Man U kichapo kikubwa zaidi kwenye ligi ya Uingereza cha Magoli 39-0 mwaka 1920. Habari hii inasambaa sana mtandaoni, JamiiCheck tunaomba mtusaidie kuifuatilia.
  6. KAGAMEE

    Napata raha sana kuona mashabiki wa Simba na Man U wakiwa hawana raha

    Yaani katika maisha yangu naweza kupata hela nyingi tu na nikaona kawaida yaani. Ila Mashabiki wa Simba na Man wakiishi kwa stress napata faraja sana na naona nina kila kitu katika maisha. Hasa hasa hawa watu wa Msimbazi wanapoanza kunyosheana vidole, kukamatana uchawi, kufukuzana na kusutana...
  7. Nehemia Kilave

    Yanga bado wana kitu cha kujifunza kimataifa kutoka kwa Simba, Mnachofanya wana Yanga ni sawa na Newcastle kukebehi Man U kufuzu UCL

    Habari jf, Kwa misimu miwili mfululizo timu ya Simba haijawa katika kiwango kizuri hili halipingiki. Usajili mzuri umefanyika lakini matunda bado hayaridhishi hii inawezekana ni kutokana ni ubovu wa benchi la Ufundi. Mitaani wana Yanga wanaongea sana lakini katika miaka 25 ndio tena mmeingia...
  8. Replica

    Wauana kibandaumiza kisa VAR ya Arsenal V Man U

    Shabiki wa Arsenal ameaga dunia baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali na shabiki wa Man U kwenye banda la video. Wawili hao walianza kwa kurushiana maneno na kufikia ugomvi baada ya VAR kukataa goli la Man U. Ugomvi huo ukapelekea kifo cha Jackson Aineruhanga eneo la Sheema, kaskazini mwa...
  9. T

    Je, inawezekana Waziri pale Uingereza kusafiri na timu ya mpira kama Man UTD au Man City au ni hapa kwetu tu?

    Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria. Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji...
  10. Gordian Anduru

    Tumetoka mbali: Simba iliyocheza Fainali ilikuwa ikivaa jezi za Manchester United

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza pichani ni kikosi cha simba kilichocheza fainali za Abiola 1993 na picha ya Roy Keane wa Man U 1993. Dah kitambo sana mara ya mwisho Tanzania kuingiza timu fainali. Mtu anavaa jezi bila hata kuwa na Mkataba na sharp.
  11. Allen Kilewella

    Kwa nini familia ya Glazer wana kigugumizi kuiuza Man Utd?

    Walisema wanataka kuiuza Klab, lakini kila akitokea mnunuzi wanaanza kumzungusha, tatizo nini??
  12. M

    Man U poleni: Mechi ijayo mnacheza na Liverpool hapo jiandaeni kipigo cha tatu!

    Mbaya zaidi kipigo kinawafuata hapo Old Traford! MONDAY 22ND AUGUST Manchester United Vs Liverpool.
  13. LIKUD

    Maguire ndio mchezaji muhimu kuliko wote ndani ya Man U

    Wewe endelea hivyo hivyo kumchukulia poa Maguire. Kwa taarifa yako, kibiashara Maguire ndio mchezaji muhimu kuliko wote pale Man U ndio maana haachwi wala hawekwi benki. Kwanini ? Uwepo wa Maguire kikosini umeongeza maradufu mapato ya Man U kwa sababu sasa hivi mabilioni ya watu duniani...
  14. Mussa_hassan

    Man U kuisaka saini ya Antonio Rudiger

    Beki wa Chelsea Antonio Rudiger anaonekana uwezekano wa kuondoka klabuni hapo bure msimu wa joto, kwani ameshindwa kukubaliana na mkataba mpya. Rudiger, 28, anaripotiwa kutaka kiasi cha pauni 220,000 kwa wiki kusalia Stamford Bridge, huku ofa ya klabu hiyo ya pauni 140,000 kwa wiki kurekebisha...
Back
Top Bottom