man

A man is an adult male human. Prior to adulthood, a male human is referred to as a boy.
Like most other male mammals, a man's genome typically inherits an X chromosome from his mother and a Y chromosome from his father. The male fetus generally produces larger amounts of androgens and smaller amounts of estrogens than a female fetus. This difference in the relative amounts of these sex steroids is largely responsible for the physiological differences that distinguish men from women. During puberty, hormones which stimulate androgen production result in the development of secondary sexual characteristics, thus exhibiting greater differences between the sexes. However, there are exceptions to the above for some transgender and intersex men.

View More On Wikipedia.org
  1. Carabao Cup: Man United yashinda 3-0, yaingia nusu fainali

    Licha ya kuanzia benchi wachezaji wengi wa kikosi cha kwanza, #ManUnited imeshinda 3-0 dhidi ya Charlton Athletic, wafungaji wakiwa ni Antony na Marcus Rashford (mawili) kwenye Uwanja wa Old Trafford. Mchezo mwingine wa Robo Fainali, Newcastle United pia imesonga mbele kwa ushindi wa magoli 2-0...
  2. Mashabiki Man UTD waiomba timu yao kutomsajili Memphis Depay

    Sababu ya kutoa maoni hayo ni kwa kuwa wana hofu yasije kujitokeza kama yaliyotokea kwa Cristiano Ronaldo ambaye aliwahi kuitumikia klabu hiyo kwa mafanikio lakini baada ya kurejea mambo hayajawa mazuri kama ilivyokuwa awali. Depay ambaye aliwahi kuichezea United mwaka 2015 hadi 2016, alifunga...
  3. M

    Ronaldo wa kombe la dunia kama mchezaji wa ureno anaonekana ni tofauti kabisa na yule Ronaldo wa EPL kama mchezaji wa Man U: Hii imekaaje?

    Pamoja na ukweli kuwa R7 kwa sasa hana kasi yake ile ya zamani lakini Ronaldo wa kwenye kombe la dunia ameonekana kuwa tofauti sana na yule Ronaldo wa EPL kama mchezaji wa Man U. Jana R7 kaibuka man of the match (mchezaji bora kwenye mechi)!!. Mchango wake kwenye mechi ulikuwa mkubwa sana...
  4. David Beckham aweka wazi nia yake ya kuinunua Man United

    Nyota huyo wa zamani wa soka ameelezea nia yake hiyo ambapo mpango wake ni kushiriki katika muungano wa watu wanaoweza kuinunua klabu kwa kuwa yeye peke yake hana uwezo huo. Hiyo inamaana kuwa kuhusika kwa Beckham kunaweza kuwa na manufaa kwa wanunuzi wengine kutokana na historia yake ya muda...
  5. Dr. Bashiru, If you are a man of Principles, Hata Wakushukie vipi Stand Firm!, Don't Apologize!, Utaheshimika Zaidi na Zaidi!

    Wananodi, Baada ya Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa kutoa kauli hii, CCM, kwachafuka, wengi wamemjia juu kama moto wa kifuu, kwa kumshukia kama mwewe, huku wengine wakimbeza, kumkashifu, kumkejeli na hata kumtukana!. Huu ni ushauri wangu wa bure kwake, "Ushauri wa Bure kwa...
  6. A Man Attacks A Black Woman In France And Get Instant Karma

    A Man Attacks A Black Woman In France And Get Instant Karma A man attacks a woman in France, until the woman body-slams him in self-defense.
  7. Time is a true enemy of man

    Quote “time as true enemy of man with Evidence” P.Kagame-Rwanda before (1994) After (2022) K.Museven -Uganda before (1980) after (2022) R.Mugabe-Zimbambwe before (1960) after (2019) A hero should be the defeater of time
  8. Harry Maguire apewa mapumziko maalum Man United

    Beki huyo wa kati amepewa ruhusa hiyo na kocha wake wa Manchester United, Erik ten Hag ikiwa ni sehemu ya kuhakikisha anakaa sawa kiakili na kurejesha kiwango chake. Masharti ya Ten Hag kwa mchezaji majeruhi ni lazima awe na timu muda wote lakini Maguire ambaye anasumbuliwa na maumivu ya paja...
  9. Jemedari Said: Kipa wako akiwa "Man of the Match" basi mjue mlizidiwa

    Comment ziwe fupi fupi tafadhali.
  10. FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa 02/10/2022

    Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Oktoba 2, 2022, ambapo Mnyama Mkali Mwituni Simba SC, atakwaruzana na Walima Zabibu Dodoma Jiji FC kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mechi huenda ukawa ngumu kwa pande zote mbili, hasa ukizingatia kwa kila timu kujipanga ili kupata...
  11. Aina ya wanawake wasiotongozeka hata uwe na kila kitu (perfect man)

    Katika uchunguzi wangu kuna kundi la wanawake nimeligundua ni kundi ambalo halitongozeki hata uwe handsome vipi, umjue mungu vipi au uwe gentle kiasi gani. Wanawake hawa ukikutana nao barabarani usijisumbue kuwapata, ni sahau. 1. Mwanamke Anaeenda kukutana kimapenzi na mwenzi wake Ukikutana na...
  12. Wachezaji Man United waumwa tumbo, yadaiwa wamekula chakula chenye sumu

    Wachezaji 12 na wafanyakazi wa Klabu ya Manchester United, walipata maumivu ya tumbo Ijumaa iliyopita ambayo inadaiwa yalisababishwa na kula chakula chenye sumu wakati wa mchezo wao dhidi ya Sheriff Tiraspol katika UEFA Europa League. United ilisafiri kwenda Nchini Moldovan kucheza mchezo huo...
  13. Wachezaji Man United walifurahia kusikia Ronaldo ameomba kuondoka

    Baada ya Cristiano Ronaldo kuiambia klabu yake ya Manchester United kuwa anataka kuondoka klabuni hapo inadaiwa kuwa wachezaji wa timu hiyo walifurahia tamko hilo. Sababu ya hali hiyo ni kuwa wachezaji wanaamini Ronaldo (37) amepoteza nguvu ya ushawishi kikosini na wanahisi amekuwa mzigo zaidi...
  14. Man United yaipiga Southampton goli 1-0, ni ushindi wa pili mfululizo

    Manchester United imefanikiwa kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Southampton katika mchezo wa Premier League, leo Agosti 27, 2022 ukiwa ni ushindi wa pili mfululizo. Bruno Fernandez ndiye aliyefunga goli la Man United katika dakika ya 55. United ilipoteza mechi mbili za kwanza msimu huu kabla...
  15. Kwa yanayomkuta Macon greenwood wa man utd.Ulaya kula kinyama ni ngumu sana.

    Nimepitia mitandaoni. Pamoja na talent yake mchezaji kinda wa Man utd ana Hali mby Sana. Makampuni yanajitoa na kuapia kutojihusisha na mwingereza huyo mshambuliaji wa united. Kwa hali hiyo Ulaya kula kinyama hicho ikiwa hujaoa ni ngumu sana. Na hata kama umeoa mkuu uache yeye(mchuchu)atake...
  16. Premier League: Man United yaibamiza Liverpool 2-1, Agosti 22, 2022

    Baada ya kuanza msimu vibaya kwa kupoteza mechi mbili mfululizo, Manchester United imeamka na kuipa Liverpool kipigo cha magoli 2-1 katika mtanange wa Premier League kwenye Uwanja wa Old Trafford. United haikupewa nafasi kubwa ya kushinda katika mchezo huo, ilipata magoli yake kupitia kwa Jadon...
  17. Kiungo wa Real Madrid, Casemiro akubali kwenda Man United kwa Paundi Milioni 60

    Manchester United imekubali kutoa Paundi Milioni 60 (Tsh. Bilioni 167) kwa ajili ya kumsajili kiungo mkabaji wa Real Madrid, Casemiro baada ya klabu hizo kufanya mazungumzo kwa siku kadhaa. Inaelezwa kuwa Mbrazili huyo anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya wikiendi hii na kila kitu kikienda...
  18. Mwanamke asema beki wa Man City alimfungia chumbani kisha akambaka

    Beki wa Manchester City, Benjamin Mendy (28) imeelezwa kuwa alitumia mashine ya alama za vidole kumfungia mwanamke chumbani kabla ya kumbaka. Hayo yameelezwa Mahakamani ambapo Mendy anatuhumiwa kwa makosa 10 dhidi ya Wanawake 7 (mdogo zaidi akiwa na umri wa miaka 17) anayodaiwa kuyatenda kati...
  19. Man arrested with drugs at JKIA jailed for 20 years, fined Ksh.20 million

    A Nairobi court has slapped a German national with 20 years imprisonment and ordered him to pay Ksh. 20 million for drug trafficking. According to a report issued by the Director of Public Prosecutions (DPP) on Wednesday, the accused, Rommenswinkel Dieter appeared before a court at Jomo...
  20. John Mnyika is our next Man 2025

    Habari Wakuu! Ijapokuwa 2020 nilimpigia kura Tundu Lissu ila moyoni sikuwahi kuamini watu wa misimamo mikali like him wanaweza kumake as good President. Tundu Lissu mbali na CV ya uadilifu iliyotukuka, misimamo yake juu ya demokrasia pamoja na uzalendo wake usioweza kutiliwa shaka; ila bado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…