Hi everyone,
I hope you have a bright Sunday, Super weekend na nini na nini hata kama mambo yako ndivyo sivyo, have faith it’ll come your way just work hard.
Sasa bana, huku nnakoishi uswazi, mlango wa kuingia kwangu unatizamana na mlango wa jirani yangu ambaye huwa hatuonani kutokana na...