Msimu wa 2024/25 katika Ligi Kuu ya England “Premier League” unatarajiwa kuanza leo Agosti 16, 2024 ambapo utaendelea hadi Mei 25, 2025, bingwa mtetezi akiwa ni Manchester City.
Timu ya Manchester United inafungua pazia kwenye Uwanja wa Old Trafford kwa kuikaribisha Fulham, huku mechi nyingine...