manabii uchwara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Huyu mtumishi achukuliwe hatua na kuonywa mara moja, anaenda kutengeneza chuki kubwa maofisini

    Wakuu, Kuna huyu mtumishi hapa kaandaa maombi kwa watumishi wa umma ili waweze "Kudumu kwenye nafasi zao" eti katikati ya vita. Tayari hapa ameshawaandaa kisaikolojia kuwa kazini kwako kuna mtu/watu wanakuwekea kauzibe, kuna watu wanakuroga, kuna watu wanakuwekea mavitu sehemu yako safari...
  2. Yoda

    Manabii uchwara wa kwenye siasa wanashika kasi

    Tabia aliyoianzisha Lema ya kujifanya ni nabii aliyetumwa na Mungu kutabiri mambo mbalimbali sasa inashika kasi na wameanza kuibuka watu mbalimbali maarufu na walio wa kawaida tu nao sasa wakijafanya ni manabii katika siasa za nchi, huu ujinga na utapeli ukomeshwe sasa. Katika taifa la watu...
Back
Top Bottom