manabii wa uongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sam Richards

    Kuhusu manabii wa uongo Tanzania

    Ifike hatua hawa manabii wa uongo Tanzania waache kucheza na imani za watu maana wanajitafutia umaarufu kidg tu kisha waanza kupiga deals kupitia unabii mpauko. Hivi haiwezekani kuwatandika viboko hawa manabii wanaozuka kama uyoga mitaani? Kuna nabii mmoja Channel 10 wa mwenge mpakani anapiga...
  2. matunduizi

    Kwa mujibu wa Biblia manabii wa uongo bado hawajatokea, hawa niwatafuta maisha tu

    Kwa utafiti wangu wa maandiko, manabii wa uongo bado hawajaanza kuja. Hawa tunaowatuhumu ni watafuta maisha, wanasaikolojia, waganga na wachawi wa kawaida tu. Biblia imetabiri watafanya Ishara hadi kushusha moto. Hapa bado sijaona nabii yoyote akifanya ishara yoyote ya ajabu. Vyote ni vya...
  3. LIKUD

    Point ya huyu jamaa kuhusu dini na manabii wa uongo inafikirisha sana

    Mwamba na hoja asikilizwe.
  4. matunduizi

    Vitu vya kukusaidia kuwatambua Manabii na watumishi feki na kuwakimbia

    Jamii Ina stress kubwa za kiuchumi, kimalezi, kimahusiano na za hisia za kurogwa. Wafanyamazingaombwe, waganga na matapeli jasiri wameiona hii fursa na kujitengenezea vilinge vya kujitajirisha kupita watu waliopoteza matumaini. Hivi ni vitu vichache vya kuzingatia kabla hujaamua kuwa mteja wa...
  5. M

    Una mtazamo gani juu ya ongezeko la manabii hapa nchini?

    Kumekua na wimbi kubwa la watu wanaojiita manabii likiongezeka kila kukicha na manabii wote hao wameanzisha makanisa yao. Manabii hawa wamekua ni wengi kuliko hata wale ambao wametajwa kwenye biblia takatifu. Kwa ulewa wangu mdogo ni kwamba wale manabii wa kale ambao walitajwa kwenye biblia...
  6. Yesu Anakuja

    Sifa za Manabii wa uongo

    1. Wanajali zana pesa kuliko kumtumikia Mungu. 2. Wanaamini Yesu sio Mungu. 3. WANA MADHABAHU ZAO, hata maombi wanaomba kwa madhabahu ya mtumishi huo, sio kwa Jina la Yesu, wanaamini madhabahu yao ina nguvu, kumbe Nguvu zetu zinapaswa zitokane na Roho. 4. Injili zao muda mwingi ni za miujiza...
Back
Top Bottom