Kikosi cha yanga kwa Muda waliokaa kambini ni Mchache sana na ukizingatia Safari za hapa na pale!
1st Goalkeeper, Djigui Diarra ni bonge Moja la Mchezaji, hata uwe mnafiki vipi Lazima kazi yake utaikubali tu, Magoli aliyofungwa ni Makosa ya kimpira tu Tumpe Mechi Tano tu Then ndio tuanze Lawama...