manara

Menara (Hebrew: מְנָרָה‎) is a kibbutz in northern Israel. Located in the Upper Galilee adjacent to the Lebanese border and overlooking the Hula Valley, it falls under the jurisdiction of Upper Galilee Regional Council. In 2019 it had a population of 248.

View More On Wikipedia.org
  1. Manara aunga mkono Barbra wa Simba kuhudhuria mikutano ya CAF, awaambia Yanga waache kuona wivu

  2. Manara aomba kukutana na Gianni Infantino

    Wakati mkutano mkubwa ukifanyika Arusha, Haji Manara ameomba kufanya mkutano mdogo na kiongozi mkuu wa FIFA. Ikumbukwe kabla ya kuisha kwa mkutano huo, Manara pia amekubaliwa kufanya mazungumzo na ndg Motsepe. Baki hapa hapa kujua kipi kitajiri.
  3. Wanaomchukia Manara wanaumia zaidi kuliko Manara mwenyewe anavyoumia kuchukiwa na wengi

    Majeneza fc labda nikusaidieni juu ya jambo hili huenda mkapoza nyoyo zenu kidogo. Huyu Manara ni kisu mlichokitengeneza wenyewe Leo kinawakata. Hivi alivyo Manara ndivyo alivyo tokea zamani enzi hizo anakabiliana na Jerry Muro mheshimiwa Sasa hivi. Jerry Muro alikuwa msemaji wa mpira pekee...
  4. Naweka Utani wangu pembeni tafadhali wana Yanga SC wawapige Stop kwa muda Viongozi wao Kulizungumzia Sakata la Juzi la Haji Manara

    "Haji Manara juzi alikuja katika Tamasha la Yanga SC na hakuja katika Shughuli za Kimpira za Klabu ya Yanga " Arafat Haji Makamu Rais wa Yanga SC. Taarifa: EFM Sports Headquarters leo. Makamu Rais wa Yanga SC Arafat Haji kumbe Siku zile ( Juzi ) Haji Manara ( Mfungwa Mkaidi ) alikuja...
  5. N

    Tujikumbushe: Weledi wa Barbara kupinga ubaguzi wa Manara dhidi ya uwezo duni wa Engineer Hersi kiuweledi

    Hakuna mtu anayestuka na ujinga wa sope takadini ni kama toto dogo linalochezea matope lakini wengi wamestuka sana kuona ujinga wa kitoto unaofanywa na Hersi na Arafat, vijana wanodaiwa kuwa ni wasomi (may be walifoji vyeti, who knows) waliyoyafanya Jumamosi ni kituko sana wao wanajiona wajanja...
  6. Kama Taasisi, TFF acheni kulumbana na Haji Manara, he has nothing to lose!

    Hivi kribuni Nd Wallace Karia wa TFF kaingia ligi ya kujibizana na "crazy" Haji Manara, msemaji wa Yanga. Katika tafrani hili linaloenda kukua chizi huyu Manara sasa kawaingiza tope TFF. Lakini kuna msemo maarufu kuwa "Never argue with fool, people might not notice the difference". Na hao...
  7. Haya wale wenye Akili fupi na mnaomtetea Haji Manara na Tukio la Dharau alilolifanya Juzi someni haya Maelezo ya Maulid Kitenge wa EFM

    Swali kutoka kwa Mtangazaji Abdulrazaq Majid.... Kitenge je, ni kweli Haji Manara juzi pale alijitokeza tu na mkampa Kipaza Sauti afanye kile alichokifanya au labda ni Tukio ambalo mlilipanga na mlikuwa nae Kimaandalizi? Jibu la Mtangazaji Maulid Kitenge.... Ukweli ni kwamba Siku Moja kabla...
  8. Baada ya Rais Hersi na Mhamasishaji Manara kuwa na 'Hatiani' huu ndiyo Uwezo wa mwisho wa Kufikiri wa Mashabiki na Wanachama Wao

    "Tunaomba sababu ni kwanini katika Tamasha letu la Citizens Beauty Beauty Day hakuna hata Kiongozi Mmoja wa TFF aliyekuja. TFF inatunyanyasa mno na ina Chuki na Sisi" wamesema Wasio na Akili FC. Yaani Viongozi wa TFF waache kuwa busy na Ugeni wa CAF na Mkutano Mkuu utakaofanyika Arusha waje...
  9. Manara atunukiwe Honorary Doctorate!

    Huyu jamaa ana IQ kubwa kupita wengi katika sekta ya Michezo. Pamoja na kuwa hajasoma Sana Ila ni mtu aliyepaisha Moira wa Tanzania na Afrika nzima
  10. Kamati ya maadili ya TFF ,Kwa hili la Manara mmekurupuka.

    Inavyoonesha Kuna mtu amemkamia sana manara ,angalia barua ya tff muda iliyoanza kusambaa,inaonekana imeandikwa Saa Moja asubuhi au Jana ileile usiku, swali ni saangapi wamekaa na kupitia tukio Zima hata kukubaliana eng hersi,na manara wafunguliwe kesi?inaonyesha ni utashi wa mtu Mmoja ndie...
  11. N

    Mtatiro amaliza utata ishu ya Manara ya jana. Atoa ufafanuzi kisheria

    Huyu jamaa ni genius sana halafu si kala bachelor degree ya sheria juzijuzi tu? hii nchi ina wasomi wakali sana wa sheria
  12. TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

    Manara, Hersi Wafunguliwa Mashitaka ya kimaadili na Sekretarieti ya TFF
  13. Manara amefungiwa kujihusisha na soka ,mechi ya Leo sio ya mashindano ya tff,ni sherehe ya yanga ,manara kaja kama mc

    Nachojua mm manara kaja pale kama mc wa shughuli tu, na mechi ya Leo sio ya tff ni yanga wanasherehekea na kutambulisha wachezaji wao ,,hivyo hii mechi tff haiwahusu nachojua manara baada ya kumaliza ka UMC ameenda zake,,bodi ya ligi iwe makini na mihemuko ya watu wenye chuki binafsi na manara...
  14. N

    HAJJ MANARA AHIMIZA WANANCHI WAVIMBE WASIOGOPE

    The greatest master of ceremony wa kujitegemea aliyelipwa milion 15 kusheheresha shughuli kubwa kabisa iliyojaza uwanja pomoni yaani mwananchi day iliyojaza watu 60,000 bila mapengo kuonekana amewahimiza wana yanga kuvimba kuviiiimbaaa kwelikweli Kuanzia week ijayo ataendelea pia kuwepo kwenye...
  15. N

    YANGA , MANARA NI WASHINDI, KUENDELEA NA KAZI YA USEMAJI KAMA P.R.O CONSULTANT

    Ifike wakati tuseme Yanga ni zawadi iliyoshushwa na Mungu kwa soka la nchi hii, kuna vi team vingine vijifunze jinsi ya kuendesha soka kwa weledi jamani Wapiga majungu mlichooonga sana eti leo hatakuwa MC si mmeona kashika mic kama MC wa kukodiwa wa kujitegemea? Yaani ulitarajia viongozi...
  16. Hajia Manara aonekana Mwanachi Day japo adhabu yake inaendelea

    Katika Hali isiyo ya kawaida yule msemaji wa utopolo aliyepigwa marufuku kujihusisha na mambo ya mpira ndani na nje ya nchi Kwa muda wa miaka miwili, Leo ameonekana ndani ya uwanja wa mkapa akiwa na lundo la walinzi.. kwenu TFF
  17. N

    Hatari sana: Manara kesho kupanda kama msanii ataongea kiaina

    Agh, I never saw this coming. THE GREATEST HAJJ MANARA kawapiga watu chenga ya mwaka na atakayejaribu kumgusa itakuwa mwisho wake kushikilia cheo hapo TFF.........KIVIPI Intelejensia ya NJAAKALIHATARI imegundua kwamba kesho atapanda kama msanii wa mziki yaani back vocalist wa msaniii maarufu...
  18. C

    Manara kumbuka masikio hayazidi kichwa ona sasa unaula wachuya

    Kweli, asiyefunzwa na mamaye , hufunzwa na ulimwengu. Msemo huu umemkuta Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara baada ya kumtokea puani maneno ya hovyo aliyowahi kuyasema siku kadhaa nyuma kuonesha kwamba yeye ni mwamba na hivyo hawezi kufanywa chochote na mtu yeyote ndipo ameamuamua kumuomba...
  19. C

    Manara kumbuka masikio hayazidi kichwa, ona sasa unaula wachuya

    Kweli, asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Msemo huu umemkuta Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara baada ya kumtokea puani maneno ya hovyo aliyowahi kuyasema siku kadhaa nyuma kuonesha kwamba yeye ni mwamba na hivyo hawezi kufanywa chochote na mtu yeyote ndipo ameamuamua kumuomba...
  20. U

    Mandonga anastahili kurithi mikoba ya Haji Manara na kuwa msemaji rasmi wa klabu ya Yanga

    MANDONGA ANASTAHILI KURITHI MIKOBA YA HAJI MANARA NA KUWA MSEMAJI RASMI WA KLABU YA YANGA Apoteza pambano lakini anafaa kuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga kwani anao weledi mkubwa wa kujieleza, ucheshi, uhamasishaji, kutokata tamaa & anakubalika sana na Watanzania wengi! Twende na Mandonga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…