manchesterunited

  1. UtdProfile_

    Taarifa: Nkunku nje ya uwanja wiki 16 (miezi minne)

    🔴Leo: Chelsea imethibitisha kuwa Christopher Nkunku amefanyiwa upasuaji wa goti lake ambalo alilolipata huko Chicago. (Pre-seasons match), wakati timu hiyo ikijiandaa na Michuano ya Ligi Kuu (Premier League). 🔃Na imethibitishwa na Klabu atakuwa nje kwa wiki 16 Sawa na. Miezi Minne🤔🤔🤔.
  2. JanguKamaJangu

    Rasmi mabilionea wawili waweka dau kuinunua Man. United, ni kutoka Qatar na Uingereza

    Sheikh Jassim bin Hamad Al Thani wa Qatar na Sir Jim Ratcliffe wa Uingereza ndio wawekezaji walioweka dau rasmi kwa lengo la kuichukua klabu kutoka kwa wamiliki wa sasa Familia ya Glazer ambao wamekuwa wamiliki tangu Mwaka 2005. Wote wawili kila mmoja kwa upande wake amejinasibu kuwa nia yao ni...
  3. D

    CR7 afikisha mabao 700 ya timu za klabu

    Sporting Lisbon - Mabao 5 Real Madrid - Mabao 450 Juventus - Mabao 101 Man United - Mabao 144 🐐Goat🙌
Back
Top Bottom