Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia Mtu mmoja aliyetambulishwa kwa jina la Raphael Keneth Ndamahnwa mlinzi wa kanisa Katoliki parokia ya watakatifu wote lililopo Nzuguni B kwaajili ya uchunguzi wa kifo cha msanii wa muziki wa kizazi kipya Joseph Francis Maarufu kaka ManDojo kilochotokea...
Habari ndio hiyo, kama Mandojo asingekerwa na mke wake na kuamua kwenda kunywa pombe basi leo hii angekuwa hai.
Hii si kazi ya Mungu, ni kazi ya shetani iliyoratibiwa na mwanamke.
Tuishi nao kwa akili.
Leo hii, ulimwengu wa muziki umepata pigo kubwa sana kwa kifo cha Mandojo, msanii maarufu aliyejulikana kwa umahiri wake wa kuimba na kupiga gitaa. Mandojo, ambaye jina lake kamili ni Joseph Francis, amefariki kwa njia isiyosadikika—kupigwa hadi kufa baada ya kudhaniwa kuwa ni mwizi.
Tukio hili...
Mungu ailaze mahali pema peponi nafsi yake Bwana alitoa Bwana ametwaa.
===
Msanii wa Bongo fleva Mandojo amefariki dunia asubuhi ya leo August 11 2024, akiwa Jijini Dodoma.
Kwa mujibu wa habari za awali Mandojo amefariki kwa kupigwa na wananchi waliodhani kuwa ni mwizi baada ya kutokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.