mane

  1. Sandio Mane ni mchezaji wa kuigwa anatoa huduma zote mhimu kijijini kwao Mbambaly, analipa watu wake kila mwezi

    Sadio Mane ni mmoja ya wachezaji wachache wanaojali familia zao, Mane sio mzaliwa wa jiji kuu la Senegal Dakar wala Kaolack ambayo ni majiji makubwa katika taifa hilo bali Sadio Mane ni mzaliwa wa mbambaly anabadilisha kijiji chake kuwa mji. Mane katika kijiji chao ambapo inakadiriwa wanaishi...
  2. Salah, Mane, Firmino wana MABAO 349, ASISTI 155

    Hizi ndiyo takwimu za washambuliaji watatu wa Liverpool, Sadio Mane raia wa Senegal, Mohamed Salah wa Misri na Roberto Firmino wa Brazil. Firmino: 315 games, 94 goals, 66 assists Mané: 245 games, 107 goals, 37 assists Salah: 231 games, 148 goals, 52 assists Una mtazamo gani juu ya safu hii ya...
  3. Sadio Mane, picha la kutisha kutoka hotelini baada ya kubeba AFCON

    Sadio Mane akiwa hotelini baada ya fainali ya AFCON.
  4. Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari nchi nzima

    Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima | Hakika awamu ya Sita Tanzania lazima iwe Tanzania. " Hakuna kama Samaia " Baada ya janga la Covid-19 kuvuruga Uchumi wa dunia na sisi tukiwemo, Shirika la fedha duniani ( IMF)...
  5. Malezi: Mambo 20 ambayo hutakiwi kumwambia mtoto wako

    Mara kadhaa wazazi wamekuwa wakiwaambia watoto wao maneno mbalimbali wakati wakiwa na furaha au hasira. Ipo nguvu kubwa kwenye maneno ya kutamkiwa ambayo wazazi wengi hawaifahamu. Kwa hakika maneno yanaweza kujenga au kubomoa maisha ya mtoto kwa kiasi kikubwa. Hivyo fahamu maneno 20 ambayo...
  6. Rangi yake Sadio Mane ndiyo iliyomkosesha Ballondoir

    Ballondoir ya mwaka huu imekuwa ya utata sana kama zilivyokuwa nyingine za miaka ya karibuni. Mshindi wa Ballondoir wa mwaka 2019( Lionel Messi) naye ameshindwa kukaa kimya na kukiri kuwa Mchezaji Sadio Mane alistahili tunzo hiyo. Messi alizungumza hayo alipohojiwa na gazeti la Marca baada ya...
  7. Sadio Mane: My parents told me pursuing football was a waste of time

    Sadio Mane (Liverpool star) said that his parents have been telling him pursuit football career was a waste of time, right up until he signed his first contract in 2011 with Metz, before moving to Red Bull Salzburg and Southampton prior to his Liverpool switch. Mane, 26yrs old, has developed...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…