"Nitoe wito kwa OCD Misungwi, nitoe wito kwa RPC Mwanza, nitoe wito kwa Waziri wa mambo ya ndani, na nitoe wito kwa anayefanya kazi ya kuteua hao wote, Amiri jeshi mkuu ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nitoe wito kwamba maisha na uhai wa mtu mmoja unafaa kuwa na thamani kubw...
Habari wakuu !!,,
Leo nataka nitoe muongozo kidogo juu ya mamlaka ya anaye kulisha,,.Anaye kulisha kila siku ana mamlaka juu yako ya kukutuma ,kukuagiza ,kukupangia kazi ,kukupa maelekezo bila kujali wewe ni nani na yeye ni nani..
Poleni na changamoto za korona.
Wakuu habari zenu, karibuni mjipatie viatu vizuri vya mtumba. Napatikana goba centre, ukihitaji picha na maelezo zaidi tuwasiliane. Delivery ipo popote Dar .
Mawasiliano 0764 652 155.
Habari za majukumu wahangaikaji wenzangu!
Naomba kufunguliwa zaidi kimawazo kwa wale wenye kujua biashara ya utalii inavyoendeshwa.
Naona fursa ipo kwenye utalii ila nashindwa kutumia. Natamani kutumia rasimali zilizopo kufanikisha jambo hili, mfano kutafuta watalii na kuwaunganisha na...
Natumai wote ni wazima wa afya, wenye hali tofauti Mungu awajalie wepesi ,mrejee katika hali njema.
Niende moja kwa moja,,Maisha ni safari ndefu sana iliyo jaa milima na mabonde ,kuna wakati wa raha kuna wakati wa shida. Kuna watu hawabembelezi shida wanabembeleza raha tu. Tuko tofauti
Nikiwa...
Kwa wiki nzima sasa nimezunguka vijiji kadhaa nikifanya ziara ya kitafiti kuhusu kilimo. In fact tusiite ziara niseme tu nachunguzachunguza mustakabali wa kilimo kupitia kivuli cha kuwatembelea ndugu zangu wajomba na mashangazi vijijini huko ndani ndani.
Asikuambie mtu kilimo kinalipa...
Pendeza na mwonekano wa Kiafrika kwa nguo kalikutoka GEOAFRICA DESIGN kwa bei nafuu kabisa tunafanya delivery ya bule kwa walio ndani ya Dar es salaam pia tunatuma mzigo nje ya mkoa
0678425645
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.