Je Mizimu Ipo au ni Maneno ya Watu
Mizimu ni Nini
Mizimu ni maroho wa kuzimu walio wakuu wa giza ambao wanajimilikisha familia, ukoo au eneo ili watu wa eneo hilo wawe chini ya utawala wao na maelekezo yao. Mizimu ni miungu inayowamiliki watu wa familia fulani, au ukoo fulani, au eneo fulani au...