Kiongozi wa Wachagga wa Old Moshi. Alinyongwa na Wajerumani kwa kukataa ukoloni, Wajerumani wakaondoka na fuvu lake, hadi leo hawajalirudisha.
Mangi Meli Kiusa, Alipambana na Wajerumani kwa kuwashinikiza waondoke katika himaya yake, jambo ambalo Wajerumani walilipinga kwa kudai kuwa baba yake...