Kwa takribani saa 48 sasa kuna mambo kibao yanaendelea ndani ya Simba.
Tajiri Mohamed Dewji ‘MO’ ameingia msituni mwenyewe. Ameamua kufumua kitu kimoja baada ya kingine kwa vitendo katika kuhakikisha Simba inakuwa moto wa kuotea mbali msimu ujao na kurejesha heshima ambayo imepoteza katika...