Leo nimeona kwenye tamasha la Simba day, Mo akiwa maarufu, wanasimba walimuimba sana.
Lakini kumbuka Mwenyekiti wa Simba Mangungu hajazunguziwa wa kuzungumza na uwanjani alikuwepo.
Mo alipewa 🎤 kuongea hadi akaongea mambo binafsi atatambulisha hadi wanafamilia madada, shangazi, wajomba n.k...