Wadau me Naleta hoja kwenu, kuna watu naona wanaleta list tofauti za wana hiphop kila mtu na mtazamo wake anavyoona yeye, lakini kinachonichanganya kuna baadhi ya watu wanasema kuwa Ngwair alikuwa ni zaidi ya Fid Q kitu ambacho kwangu sijawahi kukubaliana nacho. Maana kwa mtazamo wangu sidhani...