Pengine ukitoa Biblia na Quran, hakuna kitabu kingine kilichokuwa na impact kubwa katika maisha ya watu kama The communist manifesto. Miaka ya katikati ya 1800 wakomunisti ndiyo walikuwa magaidi wa enzi hizo. Basi katika mikutano yao ya siri wakampa kazi bwana Karl Marx kuandaa ilani yao ambayo...