manii

  1. M

    Mkojo kuchangnyikana na manii shida itakuwa nini

    Miaka kama mitatu sasa nimekuwa nakojoa mara kwa mara , nikichukua mkojo wa asubuhi nikiuweka kwenye chombo kisafi kinachoonekana humo ni mkojo na uteute , nimekwenda hospital kupima magonjwa haya 1. Hiv/Aids 2. UTI na 3. Nimecheki tezi kuwa either limetanuka au Kuna cancer majibu yote...
  2. X

    Ujumbe kwa waoaji: Kuna tofauti ndogo sana kati ya haya makundi 4 ya wanawake

    Kuna haya makundi 4 ya wanawake yanafanana sana Mwanamke mcheza porno Mwanamke mcheza onlyfans Malaya anayejiuza Mwanamke asiye bikira (mdangaji) hili ndilo kundi ambalo wanaume wengi miaka hii wanaoa Jambo kuu wanalofanana hao wote ni kwamba wanaitumia miili yao ili kuingiza pesa na pili...
  3. Meneja CoLtd

    Unamjua Mfanyakazi wa ndani (Jane 36) huko Marekani aliyeiba manii ya boss wake kwenye pipa la taka na kujipandikizia mimba na kudai huduma za mtoto?

    Mungu amewaumba wanawake kutokana na sisi na inapaswa kuishi nao kwa makini sana kwani wao ni wepesi kushawishika ingawaje wanaakili nyingi Huko marekani katika viunga vya Los angels mwanadada Jane 36 aliyejipatia utajiri kwa kuiba manii ya boss kutoka kwenye pipa la taka na kujipandikizia...
  4. Melki Wamatukio

    KWELI Upo uwezekano mdogo wa Mwanamke kupata ujauzito akisafisha uke kwa taulo yenye Shahawa

    Ikatokea mwanaume amemwaga manii kwenye taulo ambalo muda mchache baadae mwanamke akalitumia kukaushia uke wake. Kuna uwezekano akapata ujauzito kupitia taulo hilo?
  5. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Jinsi ya kuongeza manii

    Wakuu, Fanyeni hivi: Chukua ndizi Saba au nane zilizoiva kabisa. Zioshe kwanza kwa maji Safi. Menya (toa maganda) halafu hayo maganda weka kwenye sufuria Safi,weka maji kwenye sufuria kama lita Moja hivi! Chemsha mchanganyiko wa maji na maganda hadi uchemke kama chai Hadi maji yabadili rangi...
  6. Frumence M Kyauke

    Fahamu zaidi kuhusu manii

    Je, ni Afya Kula Manii? Ndio, kula manii ni afya kabisa kwani ni maji ya mwili. Kwa vile shahawa ni sehemu ya mwili, hukua katika mfumo wa uzazi wa mwanaume. Kama vile chakula cha kawaida, viambajengo vya manii huifanya kuwa salama kumeza na kusaga. Wanawake wanapokula manii, hufyonzwa na mwili...
  7. Castr

    Nilikua natoa manii yenye damu for Weeks

    Nitaanza mwanzo kabisa, Kutokana na ishu za hapa na pale nilikua sijafanya mapenzi (wala masturbation) kwa zaidi ya miezi minne, kisha siku ilivyofika a second namaliza kumwaga nikapata maumivu ya ghafla kama vile nina mtoki uliochachamaa. Maumivu yalidumu kwa dk mbili hivi kisha yakayeyuka...
  8. Mshana Jr

    Manii huathiri kama vimelea vya kichaa cha mbwa

    Mungu ameumba jinsia mbili tofauti, ya kike na ya kiume. Hizi jinsia mbili hazifanani maumbile yake ya siri yaani vile via vya uzazi. Katika hilo kuna mtoaji na kuna mpokeaji. Huwezi kubadili huo mfumo hasa cha mtoaji umpelekee mtoaji mwingine. Ni kinyume na maumbile hivyo lazima adhurike! Manii...
Back
Top Bottom