Salamu wanajamvi!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, napenda nifahamu mwanamke anapolala na kujamiiana na mwanaume zile shahawa, mbegu na majimaji vinapoingia kwenye uke wake huwa zinakaa muda gani??
Inajulikana kuwa uke unao uwezo wa kujisafisha na kutoa zile shahawa baada ya muda au...