manispaa ya bukoba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Mbunge Bukoba Mjini: Bilioni 47 kutumika ujenzi wa soko kuu la kisasa la Manispaa ya Bukoba

    https://www.youtube.com/watch?v=jkX7xU7oW0A Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini mkoani Kagera, Stephen Byabato, amesema ujenzi wa soko kuu la kisasa la Manispaa ya Bukoba ni miongoni mwa miradi minne iliyopo katika miradi mikubwa ya TACTIC, ambayo itagharimu zaidi ya shilingi bilioni 47, ambapo...
  2. K

    Rais Samia ikumbuke kata ya Ijuganyondo iliyopo Manispaa ya Bukoba Mjini, inakosa huduma muhimu za kijamii

    Mh Rais ikumbuke kata ya IJUGANYONDO iliyopo Manispaa ya BUKOBA MJINI maana kata hiyo Ina changamoto nyingi sana. Yaani huduma za kijamii hazipo katika kata hiyo.
  3. Mafuriko yaukumba Mji wa Bukoba, Mkoani Kagera

    Mafuriko yatikisa Bukoba, binti afariki dunia kwa kusombwa na maji Ijumaa, Mei 10, 2024 Baadhi ya maeneo yaliyokumbwa na mafuriko Manispaa ya Bukoba. Muktasari: Msichana aliyebainika kuwa mkazi wa Mtaa wa Kasarani Kata ya Bakoba, amefariki dunia baada ya kusombwa na maji wakati akitoka nje...
  4. K

    Wakazi wa kata ya Ijuganyondo katika Manispaa ya Bukoba wana katika hatari ya kukumbwa na mafuriko

    Kuna kipindi nilibahatika kwenda Moja inaitwa Ijuganyondo. Kuna sehemu Kuna shule ya Msingi inaitwa Mushemba Trinity Primary School pembeni Kuna shimo kubwa sana lilichimbwa kutoa changalawe ya kutengeneza barabara Cha ajabu lile shimo lipo karibu na Makazi ya watu, pia lipo karibu na shule...
  5. Wananchi Bukoba: Machinjio Manispaa ya Bukoba siyo rafiki kwa matumizi, yaboreshwe

    Wananchi Manispaa ya Bukoba Mjini wameilalamikia miundombinu ya machinjio na kudai kuwa siyo rafiki kwa matumizi ya binadamu na afya kwa ujumla. Baadhi ya changamoto zilizolalamikiwa katika machinjio hiyo ni pamoja na Plumbing system ni chafu na mifereji imekufa, drainage system hakuna, sakafu...
  6. Watu wanatumia changamoto ya stendi Manispaa ya Bukoba kupiga hela na Serikali ipo imetulia tu

    Baraza la madiwani lililopita kabla ya hili la sasa lilianzisha mchakato wa kujenga stendi katika manispaa ya Bukoba eneo la Kyakailabwa, na kabla ya kuimaliza muda wao ukaisha na hawakubahatika kurudi tena. Hili baraza la madiwani la sasa limekuwa na mwitikio mdogo kuendeleza stendi hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…