Haya sasa Waziri Mkuu ameanza kazi yake leo ameshalamba vichwa vinane vya watumishi huko Kigamboni akitaka wafikishwe mahakamani mara moja.
============================
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameelekeza kufikishwa mahakamani mara moja kwa maafisa wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya...
Hii idara ya mipango miji manispaa ya Kigamboni imekua kero sana tangu wapewe madaraka ya kupitisha baadhi ya leseni za biashara.
Mimi nimeomba leseni ya guest house ambayo lazima ianzie mipango miji lakini Sasa hv Ina mwezi mzima hawajapitisha Wala kunambia tatizo nini mpaka hawapitishi maombi...
Kwako WAZIRI wa ARDHI, ndugu Jerry Slaa
Mwaka Jana 2023, miezi ya kukaribia mwisho wa mwaka yalitoka matangazo katika wilaya ya Kigamboni, kuhusu mradi wa viwanja maeneo ya Pemba mnazi.
Masikini mimi nilibahatika kupata fomu ya kiwanja kidogo, kulingana na kipato changu. Kwa bahati nzuri...
Wakati serikali ikiwa haina akili tena ya kupata vyanzo vya mapato na kuishia kwenye kuweka Tozo mpk za Ndoa, ni wakati mwafaka sasa Manispaa kupitia think tank wao wakabuni vyanzo ambavyo havimuumizi mwananchi.
Serikali ilipochukua vyanzo vyote vya Manispaa walibuni uwepo wa Stendi za magari...