Wakuu naona mambo yanazidi kuwa tofauti na vile ilivyotarajiwa licha ya imani iliyojitokeza baada ya Nchimbi kutoa kauli.
Ama ndiyo kusema wote makosa yao ni makubwa makubwa?
Leo nilibahatika kutembelea shule ya msingi Upendo iliyoko katika manispaa ya Ubungo, jijini Dar es salaam.
Nilikutana na class mate wangu ambaye kwa Sasa ni mwalimu pale Upendo. Huyu mshkaji mwanzoni alikua ni mwalimu katika shule ya sekondari lkn kwasasa anafundisha shule ya msingi, hili...
Wiki hii nilikua na community based activity mkoa wa Dar es salaam. Nilipita chocho kwa chocho. Na kwa sehemu kubwa nimetembelea karibu manispaa zote za mkoa wa Dar es salaam. Nachelea kisema kuwa manispaa ya ubungo ina hali MBAYA sana ya miundombinu ya barabara.
Mpaka nikajiuliza hivi manispaa...
Kipindi cha Magufuli watumishi wote walihakikiwa na walioonekana hawana vigezo walitimuliwa. Wakati wa kuhakikiwa kila mtumishi alileta vyeti halisi, barua ya kuajiriwa na ya kudhinitishwa. Vyeti vya ndoa, kuzaliwa/affidavit n.k.
Pamoja na nakala za vyeti vyote na barua zote kuwa kwenye faili...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila leo August 17, 2023 amevunja uongozi wa Soko la Mabibo na kukabidhi soko hilo kwa Manispaa ya Ubungo.
Soko hilo lililokuwa likimilikiwa na kikundi cha watu wachache nakupelekea kuwepo kwa changamoto mbalimbali ambazo Mkuu wa Wilaya Mhe. Hashim...
Hali ni mbaya sana kwa barabara ya Kibamba kwenda Hondogo kata ya Kibamba wilaya ya Ubungo. Hatuoni viongozi wakichukua hatua kurekebisha, si TARURA, si diwani, mbunge wa kuchaguliwa wala mbunge wa viti maalum wamefanya hata ziara kuangalia au hata kuagiza magreda kuja kutengeneza barabara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.