manispaa ya ubungo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    LGE2024 Boniface Jacob: Halmashauri ya manispaa ya Ubungo imekataa rufaa zote za CHADEMA

    Wakuu naona mambo yanazidi kuwa tofauti na vile ilivyotarajiwa licha ya imani iliyojitokeza baada ya Nchimbi kutoa kauli. Ama ndiyo kusema wote makosa yao ni makubwa makubwa?
  2. C

    Ubungo: Shule ya Msingi Upendo Kuna Mwalimu ana Master's Degree anafundisha darasa la kwanza

    Leo nilibahatika kutembelea shule ya msingi Upendo iliyoko katika manispaa ya Ubungo, jijini Dar es salaam. Nilikutana na class mate wangu ambaye kwa Sasa ni mwalimu pale Upendo. Huyu mshkaji mwanzoni alikua ni mwalimu katika shule ya sekondari lkn kwasasa anafundisha shule ya msingi, hili...
  3. Hivi kuna manispaa/Halmashauri yenye barabara mbovu nchi hii kuliko Manispaa ya Ubungo?

    Wiki hii nilikua na community based activity mkoa wa Dar es salaam. Nilipita chocho kwa chocho. Na kwa sehemu kubwa nimetembelea karibu manispaa zote za mkoa wa Dar es salaam. Nachelea kisema kuwa manispaa ya ubungo ina hali MBAYA sana ya miundombinu ya barabara. Mpaka nikajiuliza hivi manispaa...
  4. E

    Mkurugenzi Manispaa ya Ubungo komesha hii tabia

    Kipindi cha Magufuli watumishi wote walihakikiwa na walioonekana hawana vigezo walitimuliwa. Wakati wa kuhakikiwa kila mtumishi alileta vyeti halisi, barua ya kuajiriwa na ya kudhinitishwa. Vyeti vya ndoa, kuzaliwa/affidavit n.k. Pamoja na nakala za vyeti vyote na barua zote kuwa kwenye faili...
  5. Dar: RC Chalamila amevunja Uongozi wa Soko la Mabibo na kukabidhi kwa Manispaa ya Ubungo

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila leo August 17, 2023 amevunja uongozi wa Soko la Mabibo na kukabidhi soko hilo kwa Manispaa ya Ubungo. Soko hilo lililokuwa likimilikiwa na kikundi cha watu wachache nakupelekea kuwepo kwa changamoto mbalimbali ambazo Mkuu wa Wilaya Mhe. Hashim...
  6. TARURA na Mbunge wa Kibamba, barabara ya Kibamba-Hondogo-Kidimu ni mbovu sana. Tutengenezeeni

    Hali ni mbaya sana kwa barabara ya Kibamba kwenda Hondogo kata ya Kibamba wilaya ya Ubungo. Hatuoni viongozi wakichukua hatua kurekebisha, si TARURA, si diwani, mbunge wa kuchaguliwa wala mbunge wa viti maalum wamefanya hata ziara kuangalia au hata kuagiza magreda kuja kutengeneza barabara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…